Watoto wenu acha kuwapa majina ya watu maarufu mnawakosesha bahati zao

Watoto wenu acha kuwapa majina ya watu maarufu mnawakosesha bahati zao

Rwetembula Hassan Jumah

Senior Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
140
Reaction score
188
Kuna watoto wanapewa majina ya watu maarufu sijajua wazazi uwaga wanaza nini •

Kijijini kwetu hata hapa mjini kuna watu wanatumia majina ya watu maarufu na ni majina yao sahihi waliopewa na wazazi wao. Kwa mfano kuna wanaume wanaitwa .William, Mkapa, Nyerere, Kikwete, Riziwan , Mwinyi,
Obama, Osama, gadaph,
......
Fanya tafiti ya watu wanaotumia haya majina kidogo utakuta wasanii wakomedy wengine hawaeleweki .
.....
 
Hiv ni maajina maarufu au watu maarufu/mashuhuri
 
Back
Top Bottom