pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,422
- 6,108
Mjomb
Mbona kuna wengine wanaozeshana wanaume kwa wanaume na kufirana hadharani bila hata uwoga na dini yao inaruhusu huwasemi vibaya?
Mjomba umekazana sanaaa na hao bikira 72, hivi inadhani ukisema hivyo ndio unautukana uislamu au una lengo la kuwaudhi waislamu?Hakuna kundi lolote la kigaidi lenye kuweza kupambana na jeshi la nchi yeyeto magaidi hawana uwezo wa kupambana mda mrefu yaani kulirudisha jeshi nyuma, magaidi ushambulia watu wasio na hatia na pasipo na ulinzi, jeshi likifika tu upotea na kutawanyika thus ni vigumu kuwamaliza kwa haraka. Maana hadi mfike washafanya uharibifu wanapotea au wanajichanganya na raia, njia aliyotumia USA kuwamaliza Ili ni kuwafata huko huko kwa raia na kuwawahisha wawahi bikira 72 kuzimu kwa maana bora raia wachache wasio na hatia wapotee lakini utaokoa wengi wasio na hatia.
Mbona kuna wengine wanaozeshana wanaume kwa wanaume na kufirana hadharani bila hata uwoga na dini yao inaruhusu huwasemi vibaya?