Watu 10 maarufu zaidi kuwahi kutokea duniani

Watu 10 maarufu zaidi kuwahi kutokea duniani

Hawa ni watu maarufu kwa maarufu. Vipi kuhusu raia wa mtaani? Nina marafiki wazungu watu wa poland hawamjui kabisa. Kwa mara ya kwanza ni mimi ndio niliwapa habari zake. Kuna siku tupo club tunaongelea kuhusu suala la wasauzi kuwakuza wageni katika maongezi mimi ndio nikiwapa story za Mandela kwa mara ya kwanza.

Halafu kitu ambacho wengi hatujui ni wazungu waliowengi hawana kabisa interest na masuala ya afrika. Ukiona mzungu anajua jua kuhusu afrika ujue ni mwanasiasa, yupo kwenye mashirika ya kimataifa au mfanyabiashara/mwekezaji. Lakini local citizens hawajui mambo mengi sana kuhusu huku. Unajua kuna wazungu mpaka leo wanafikiri afrika ni nchi moja.

Halafu nilivomjibu jamaa sikusema kwamba hafahamiki kabisa. Nikimaanisha ukimlinganisha na wale wengine aliowataja kama bin laden, obama n.k sikuona kama Mandela anawafikia kwa umaarufu
Okay Kwa hao tajwa hapo ni kweli hafikii hizo level
 
Back
Top Bottom