Easy easy homeboy huwa nawapenda watu kama nyie, huwa nainjoi kuongea na vilaza kama nyie
Allahumma swalli 'ala Muhammadin wa 'ala aali Muhammad, kama swallayta 'ala Ibraahima wa 'ala aali Ibraahim, innaka Hamiidun Majiid. Allahumma baarik 'ala Muhammadin wa 'ala aali Muhammad, kama baarakta 'ala Ibraahima wa 'ala aali Ibraahim, innaka Hamiidun Majiid.
Tafsiri:
"Ewe Mwenyezi Mungu, mrehemu Muhammad na familia ya Muhammad, kama ulivyomrehemu Ibrahim na familia ya Ibrahim. Hakika Wewe ni Mwenye kusifiwa na Mwenye utukufu. Ewe Mwenyezi Mungu, mbariki Muhammad na familia ya Muhammad, kama ulivyombariki Ibrahim na familia ya Ibrahim. Hakika Wewe ni Mwenye kusifiwa na Mwenye utukufu."
Haya umeona ujinga wako homeboy