Watu 10 maarufu zaidi kuwahi kutokea duniani

Hii list bila Samuya kuwepo haijakamilika
 
"Orodha hii sio rasmi, ni utafiti wangu binafsi. Unapingika, unajadilika na unarekebishika"

Wabongo mbona mnakua provoked kirahisi sana. Lilikua ni suala la wewe kuweka mtazamo wako tu. Kama alivyofanya mtiberi uko juu
Huna akili kwa sababu unadhihaki watu wengine.

Waislamu wako wangapi duniani?
Chanzo chao ni nini?

Ungefanya kwanza kautafiti kidogo.

Au labda umeandika kutengeneza attention.?
 
Mtume Muhammad hakuwahi kuwa muasisi wa dini ya kiislamu asilani abadani Mtume Muhammad yeye alikuwa mtume wa mwenyeziMungu(Allah) na alisaidia pakubwa kusambaza dini ya kiislamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…