Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 14,421
- 40,936
- Thread starter
- #41
Uko tutaenda kwenye mjadala wa dini mkuu, maana hakuna popote huyo Allah alishawahi kujitokeza akasema Mohamad ndie mjumbe wake. Linabaki kuwa suala la kiimani tu.Mtume Muhammad hakuwahi kuwa muasisi wa dini ya kiislamu asilani abadani Mtume Muhammad yeye alikuwa mtume wa mwenyeziMungu(Allah) na alisaidia pakubwa kusambaza dini ya kiislamu.
Mimi nimejaribu kumwelezea nje ya dini ndio maana nikasema alikua mwanamapinduzi na mwanasiasa. Hata kwa Yesu nimesema alikua local healer, mwanaharakati na fundi seremala tu. Story za kwamba mtoto wa Mungu, alifanya miujiza, alifufuka ni za kiimani zaidi