Watu 10 maarufu zaidi kuwahi kutokea duniani

Mtume Muhammad hakuwahi kuwa muasisi wa dini ya kiislamu asilani abadani Mtume Muhammad yeye alikuwa mtume wa mwenyeziMungu(Allah) na alisaidia pakubwa kusambaza dini ya kiislamu.
Uko tutaenda kwenye mjadala wa dini mkuu, maana hakuna popote huyo Allah alishawahi kujitokeza akasema Mohamad ndie mjumbe wake. Linabaki kuwa suala la kiimani tu.

Mimi nimejaribu kumwelezea nje ya dini ndio maana nikasema alikua mwanamapinduzi na mwanasiasa. Hata kwa Yesu nimesema alikua local healer, mwanaharakati na fundi seremala tu. Story za kwamba mtoto wa Mungu, alifanya miujiza, alifufuka ni za kiimani zaidi
 
Wanasayansi, wanasiasa, wanahistoria na watawala maarufu wengi kuwajua mpaka uwe mfatiliaji kidogo wa field iliyowapa umaarufu. Tofauti na niliowataja hapo hata kama uafatilii mambo waliyokua wanafanya taarifa zao zitakufikia tu
Mahatma Gandhi ni maarufu ndani ya India pekee yenye idadi ya watu bili 1.5 bado hatujaweka umaarufu wake huko England na baadhi ya nchi kama Nepal, je hana sifa za kuingia kwenye orodha kama mtu anaefahamika na idadi kubwa ya watu duniani?
 
Mahatma Gandhi ni maarufu ndani ya India pekee yenye idadi ya watu bili 1.5 bado hatujaweka umaarufu wake huko England na baadhi ya nchi kama Nepal, je hana sifa za kuingia kwenye orodha kama mtu anaefahamika na idadi kubwa ya watu duniani?
Population ya sehemu alipokuwepo inaweza kumbeba lakini vipi ukienda mbali na hapo. Tumchukue Gandhi na Michael Jackson nani anafahamika zaidi sehemu nyingi duniani
 
Unamtoaje bi Khadija na Yuda kwenye Top 10
 
Yesu na Muhammad nani alidhibitisha kuwa waliwahi kuwepo!!
Biblia na Kuruani ni ngano tuu, stori za kusadikika.
Kuwepo walikuwepo ila ni watu wa kawaida tu kama kina Mwamposa , sema zilitiwa chumvi na kufanyiwa promo za kutosha , simulizi zinazofanana na mtu kama yesu zilikuwepo , toka enzi na enzi huko misri , India na ugiriki ya kale kama hadithi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…