mwera boy
Member
- Aug 14, 2018
- 13
- 0
Nimepitia katika mtandao taarifa ya baadhi ya hawa watu kwa kweli zinautata sana storyNice post..ila kuna post moja ya namna hii humuhumu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimepitia katika mtandao taarifa ya baadhi ya hawa watu kwa kweli zinautata sana storyNice post..ila kuna post moja ya namna hii humuhumu..
kutoka kwa the bold... #habibu angaD.B Cooper ni noma,nilisoma habari yake humu JF
Duuuu aiseeeDuniani kuna majiniwatu, Hawa wana sifa za kupotea tu huwezi kujua kaishia wapi mtabaki kuhisi. Ili ujue huyu ni jini mtu, ni waoga kuangalia wenzao macho kwa macho, hii ni kwa sababu mbni zao ni nyeusi kama zetu lakini haziakisi kitu anachoona mfano, wewe uliye MTU na Mimi tukkangaliana machoni lazima ujione machoni kwangu nami nitajiona kwenye macho yako, wenyewe macho humeza picha. Ya pili hawaendagi safari za kuface jua. hawaangaliagi jua lilipo safari zao, asubuhi huenda magharibi na jioni hurudi mashariki ikitokea anaenda mashariki asubuhi basi aendako hajawataarifu kuwa na kuja, hivo hivo na jion pia. Kwahyo kama walipotea na wana hizi sifa waache tu waende
Duuu Habib Hanga huyu wa Jf ? Aka The bold ?Mk
Mkuu Habib Hanga aliuawa huko zanzibar pembezoni mwa airport!! Nilisoma habari zake kwa kina tena zikiambatana na baadhi ya picha!! Mchonga naye hakuwa nyuma kwa kufagia njia!
No! Habib Hanga original!Duuu Habib Hanga huyu wa Jf ? Aka The bold ?
Tumuombee arudi
Ni kwa sababu wenzetu historia zao zipo documented ila hapa kwetu story ya ben sa8 hata mjukuu wako hatoijuaMbona wengi ni wamarekani?? Acheni hizo
Wajuvi wa mambo walimdadavua zaidi ya upotevu wake uwenda alikwenda China..Ila huyo waziri mkuu wa australia alipotea kizembe sana.