Watu 11,896 walioondolewa kazini kwa kughushi Vyeti walipwa Tsh. Bilioni 35.2

Watu 11,896 walioondolewa kazini kwa kughushi Vyeti walipwa Tsh. Bilioni 35.2

Mkuu usijitoe fahamu kuwa hawa watu wamefanya kosa la udanganyifu, imagine kuna wangapi wanateseka bila Akira ingawa Wana vyeti hali..it's not fair walitakiwa kushtakiwa kabisa!
Hata wangekutwa na kosa mahakamani Bado wangerejeshewa michango yao waliochanga. Utumishi uko hivyo
 
Kwa hili nimefurahi, ni kweli waligushi vyeti lakini busara ilikuwa kuwaacha waliopo makazini na kuwabana ajira mpya

Rais lazima uwe na busara
 
Yaani hiyo kitu sitoielewa kabisa, watu wameghushi vyeti kupata kazi(dhulma) wamekuja kujulikana eti wanalipwa badala ya washtakiwe

Na kamwe hutojua hadi fikra zako uzitoe nje ya box la manyanyaso la jiwe (the cyborg).
 
Ni kosa na wangefukuzwa kazi. Baada ya hapo wangedai pesa zao walizochangia kwenye mfuko wa PSSSF. Je wajua hili?
Sawa Ila kila mtu apate kinachomstahili, pia hizo hela wasingepata kwakuwa wamezipata kwa njia ya udanganyifu
 
Yaani hiyo kitu sitoielewa kabisa, watu wameghushi vyeti kupata kazi(dhulma) wamekuja kujulikana eti wanalipwa badala ya washtakiwe
Serikali ya wizi hii inajaribu kulifanya taifa zima ni la wezi ili kusiwe na wa kumnyooshea mwenzie kidole.
 
Back
Top Bottom