Hata wangekutwa na kosa mahakamani Bado wangerejeshewa michango yao waliochanga. Utumishi uko hivyoMkuu usijitoe fahamu kuwa hawa watu wamefanya kosa la udanganyifu, imagine kuna wangapi wanateseka bila Akira ingawa Wana vyeti hali..it's not fair walitakiwa kushtakiwa kabisa!
Ni kosa na wangefukuzwa kazi. Baada ya hapo wangedai pesa zao walizochangia kwenye mfuko wa PSSSF. Je wajua hili?Washitakiwe kwa kughushi, au hilo sio kosa?
Mlikuwa mnaiba wote?Sabaya is free
Yaani hiyo kitu sitoielewa kabisa, watu wameghushi vyeti kupata kazi(dhulma) wamekuja kujulikana eti wanalipwa badala ya washtakiwe
Sawa Ila kila mtu apate kinachomstahili, pia hizo hela wasingepata kwakuwa wamezipata kwa njia ya udanganyifuNi kosa na wangefukuzwa kazi. Baada ya hapo wangedai pesa zao walizochangia kwenye mfuko wa PSSSF. Je wajua hili?
Serikali ya wizi hii inajaribu kulifanya taifa zima ni la wezi ili kusiwe na wa kumnyooshea mwenzie kidole.Yaani hiyo kitu sitoielewa kabisa, watu wameghushi vyeti kupata kazi(dhulma) wamekuja kujulikana eti wanalipwa badala ya washtakiwe