Hii inaashiria Dkt. Gwajima D amewaamsha toka usingizini, yaelekea hii issue polisi walitaka kuipotezea kumlinda swahiba wao, anyway tusubiriKwa mujibu wa taarifa ya Renatus Mkude, Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Taifa ya Mashtaka amesema kesi hiyo itasikilizwa kwa siku tano kuanzia leo Agosti 19 hadi Agosti 23 siku ya Ijumaa.
Sawa wakili msomiShinda mechi zako boss. Komaa na utalaam wako.
Vingine acha vikupite!
Hizo kesi jamaa wanaweza kutoboa, Amini usiamini. Hapo kosa kabisa ni makosa ya mtandao ila hayo mengine wanaweza yapangua vizuri kabisa.Changamoto kivipi? Video zipo ,binti aliyebakwa yupo ,sura za wabakaji wanaonekana live ,binti baada ya kubakwa aliumwa sana means alikuwa siyo mzoefu na jambo lile ni geni kwake.
Hakuna ugumu ,ushahidi upo wazi ,hapo iliyobaki kumjumuisha na huypo mafadhili wao afande washitakiwe kwa pamoja.
Binti ndiyo aliyebakwa na wazazi walienda kufungua kesi polisi kwamba binti yao kubakwa....Je Binti alibakwa kweli? Kwa maelezo ya polisi baada ya kumuhoji alisema kwamba alibakwa hivyo wakaona ni njema wampe mtu wa saikolijia na kumtenga safe house kwa ushauri/nasaha ,Kuthibitisha kwamba alibakwa/lawitiwa hapa ni swala la wataalamu-Forensic investigation.
Binti alitekwa akapelekwa ghetto akabakwa - Hapa litaitishwa gwaride la utambuzi.
Unapanguaje kumtisha mtu na chupa na anaomba maji unamyima.Hizo kesi jamaa wanaweza kutoboa, Amini usiamini. Hapo kosa kabisa ni makosa ya mtandao ila hayo mengine wanaweza yapangua vizuri kabisa.
Kuoga mwenyewe ni ngumu. Fanya tu jamaa walikuwa pro wakamuogesha na pipe za maji kabisa, kesi ya ubakaji inakosa evidence.Unarahisisha sana!
Ni hivi, kama alienda kuoga kabla hajapimwa na daktari basi ushahidi ni hafifu sana.
Kama alienda kwa maafande, na kwa kuwa kesi ina maslahi na "afande" na kwa hiyo Binti hakwenda kupimwa, basi ujue ushahidi umeharibika.
Kwani akuna wanajeshcwavuta bangi??Hawa ndio wavuta Bangi au ni wanajeshi?
MT. 140105 Clinton Honest Damas maarufu Nyundo, Amin Lord Lema, Nickson Idala Jackson na C.1693 Playgod Edwin Mushi
Ushahidi Gani mzee misura inaonekana acha ngonjera zako hapa kama hawataki kuwafunga waseme tu lakini hamna mambo ya ushahidi hapo wakati video ipo inaonesha sur za wahusika msilete ujuaji kama wanataka kuwaacha wawaache tu mbona tushazoea watu kukosa haki zao tanzania hiiUnarahisisha sana!
Ni hivi, kama alienda kuoga kabla hajapimwa na daktari basi ushahidi ni hafifu sana.
Kama alienda kwa maafande, na kwa kuwa kesi ina maslahi na "afande" na kwa hiyo Binti hakwenda kupimwa, basi ujue ushahidi umeharibika.
Mh, labda sasa.Sio ujuaji, ila ni namna ya kutazama jambo nje ya box, wanajua namna ya kucheza na akili za watanzania
Acha kutumia kichwa kwa ajili ya kufugia nyweleInawezekana maana mpaka wasanii wameongelea hii ishu ya kubakwa badala ya ngorongoro. Mchezo umehamishwa.
Ushahidi ulio haribika ni uthibitisho wa daktari, lkn uthibitisho wa video haujaharibika.Unarahisisha sana!
Ni hivi, kama alienda kuoga kabla hajapimwa na daktari basi ushahidi ni hafifu sana.
Kama alienda kwa maafande, na kwa kuwa kesi ina maslahi na "afande" na kwa hiyo Binti hakwenda kupimwa, basi ujue ushahidi umeharibika.
View attachment 3074234
WABAKAJI WAMEFIKISHWA MAHAKAMANI ✊🏽
.
Watu wanne wanaotuhumiwa 'kutumwa na afande" kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dares Salaam leo Jumatatu Agosti 19, 2024 wamefikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka mawili.
.
Watuhumiwa hao wamefikishwa katika Mahakama ya Kanda Dodoma na kusomewa mashtaka ya kubaka kwa kikundi (gang rape) na kumwingilia kinyume na maumbile binti ambaye hakutajwa jina lake mahakamani.
Ushahidi ulio haribika ni uthibitisho wa daktari, lkn uthibitisho wa video haujaharibika.Unarahisisha sana!
Ni hivi, kama alienda kuoga kabla hajapimwa na daktari basi ushahidi ni hafifu sana.
Kama alienda kwa maafande, na kwa kuwa kesi ina maslahi na "afande" na kwa hiyo Binti hakwenda kupimwa, basi ujue ushahidi umeharibika.
Mkuu uko dunia ya wapi wewe? Hujawai sikia mtu kafungwa kwa kesi ya unyanyasaji kijinsia alio ufanya miaka 10 ilio pita? Hapo daktari anapima nn cha miaka 10 nyuma?Kuoga mwenyewe ni ngumu. Fanya tu jamaa walikuwa pro wakamuogesha na pipe za maji kabisa, kesi ya ubakaji inakosa evidence.
Ni askari na Force numbers zao zimeandikwa sasa yote tisa kumi tunamtaka huyo Captain aliyewatuma vinginevyo tutakuwa hatuelewi kitu chochote.
Makosa 2 tuu Kwa nini? Mengine yataandaliwa lini? 👇👇Watu wanne wanaotuhumiwa ‘kutumwa na afande’ kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Agosti 19, 2024 wamefiksihwa mahakamani na kusomewa mashktaka mawili.
Watuhumiwa hao wamefikishwa katika Mahakama ya Kanda Dodoma na kusomewa mashtaka ya kubaka kwa kikundi (gang rape) na kumwingilia kinyume na maumbile binti ambaye hakutajwa jina lake mahakamani.
Akizungumza na waandishi wa habari nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania mkoani Dodoma, Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Mashtaka Makao Makuu, Renatus Mkude amesema vijana hao wamekana mashtaka hayo na kutokana na unyeti wa shauri hilo wataendelea kuwa mahabusu.
Watuhumiwa hao waliofikishwa mahakamani ni MT. 140105 Clinton Honest Damas maarufu Nyundo, Amin Lord Lema, Nickson Idala Jackson na C.1693 Playgod Edwin Mushi
Kwa mujibu wa taarifa ya Renatus Mkude, Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Taifa ya Mashtaka amesema kesi hiyo itasikilizwa kwa siku tano kuanzia leo Agosti 19 hadi Agosti 23 siku ya Ijumaa.
Pia soma:
1. Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu
2. Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa
Huyu ndo yule dogo aliyekuwa anataka mavi tu?Watu wanne wanaotuhumiwa ‘kutumwa na afande’ kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Agosti 19, 2024 wamefiksihwa mahakamani na kusomewa mashktaka mawili.
Watuhumiwa hao wamefikishwa katika Mahakama ya Kanda Dodoma na kusomewa mashtaka ya kubaka kwa kikundi (gang rape) na kumwingilia kinyume na maumbile binti ambaye hakutajwa jina lake mahakamani.
Akizungumza na waandishi wa habari nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania mkoani Dodoma, Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Mashtaka Makao Makuu, Renatus Mkude amesema vijana hao wamekana mashtaka hayo na kutokana na unyeti wa shauri hilo wataendelea kuwa mahabusu.
Watuhumiwa hao waliofikishwa mahakamani ni MT. 140105 Clinton Honest Damas maarufu Nyundo, Amin Lord Lema, Nickson Idala Jackson na C.1693 Playgod Edwin Mushi
Kwa mujibu wa taarifa ya Renatus Mkude, Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Taifa ya Mashtaka amesema kesi hiyo itasikilizwa kwa siku tano kuanzia leo Agosti 19 hadi Agosti 23 siku ya Ijumaa.
Pia soma:
1. Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu
2. Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa
Haya tuashume hawajambaka.Ili ionekane kabakwa ilipaswa kuwe na nini?Wazazi ndiyo wanathibitisha kwa lipi?Mtaalamu wa saikolojia ndiyo atathibitisha ubakaji akiwa anamuhoji?
Kumbe DPP ni nani vile?Makosa 2 tuu Kwa nini? Mengine yataandaliwa lini? 👇👇View attachment 3074383