Watu 4 wanaotuhumiwa ‘kutumwa na afande’ kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya Mkoani Dar, Wafikishwa Mahakamani

Kwa mujibu wa taarifa ya Renatus Mkude, Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Taifa ya Mashtaka amesema kesi hiyo itasikilizwa kwa siku tano kuanzia leo Agosti 19 hadi Agosti 23 siku ya Ijumaa.
Hii inaashiria Dkt. Gwajima D amewaamsha toka usingizini, yaelekea hii issue polisi walitaka kuipotezea kumlinda swahiba wao, anyway tusubiri
 
Changamoto kivipi? Video zipo ,binti aliyebakwa yupo ,sura za wabakaji wanaonekana live ,binti baada ya kubakwa aliumwa sana means alikuwa siyo mzoefu na jambo lile ni geni kwake.

Hakuna ugumu ,ushahidi upo wazi ,hapo iliyobaki kumjumuisha na huypo mafadhili wao afande washitakiwe kwa pamoja.
Hizo kesi jamaa wanaweza kutoboa, Amini usiamini. Hapo kosa kabisa ni makosa ya mtandao ila hayo mengine wanaweza yapangua vizuri kabisa.
 
Binti ndiyo aliyebakwa na wazazi walienda kufungua kesi polisi kwamba binti yao kubakwa....Je Binti alibakwa kweli? Kwa maelezo ya polisi baada ya kumuhoji alisema kwamba alibakwa hivyo wakaona ni njema wampe mtu wa saikolijia na kumtenga safe house kwa ushauri/nasaha ,Kuthibitisha kwamba alibakwa/lawitiwa hapa ni swala la wataalamu-Forensic investigation.

Binti alitekwa akapelekwa ghetto akabakwa - Hapa litaitishwa gwaride la utambuzi.

Unarahisisha sana!

Ni hivi, kama alienda kuoga kabla hajapimwa na daktari basi ushahidi ni hafifu sana.

Kama alienda kwa maafande, na kwa kuwa kesi ina maslahi na "afande" na kwa hiyo Binti hakwenda kupimwa, basi ujue ushahidi umeharibika.
 
Kuoga mwenyewe ni ngumu. Fanya tu jamaa walikuwa pro wakamuogesha na pipe za maji kabisa, kesi ya ubakaji inakosa evidence.
 
Ushahidi Gani mzee misura inaonekana acha ngonjera zako hapa kama hawataki kuwafunga waseme tu lakini hamna mambo ya ushahidi hapo wakati video ipo inaonesha sur za wahusika msilete ujuaji kama wanataka kuwaacha wawaache tu mbona tushazoea watu kukosa haki zao tanzania hii
 
Unarahisisha sana!

Ni hivi, kama alienda kuoga kabla hajapimwa na daktari basi ushahidi ni hafifu sana.

Kama alienda kwa maafande, na kwa kuwa kesi ina maslahi na "afande" na kwa hiyo Binti hakwenda kupimwa, basi ujue ushahidi umeharibika.
Ushahidi ulio haribika ni uthibitisho wa daktari, lkn uthibitisho wa video haujaharibika.

Mahakamani wakili wa binti atamuuliza binti swali moja tu, je urilidhia kulala na hawa mabwana kwenye video? Akisema hapana, basi hao majamaa wanakibarua kizito cha kuonyesha kua sio wao kwenye ile clip.

Anae toboa bila shida ni Jamaa alie waagiza tu.
 
View attachment 3074234
WABAKAJI WAMEFIKISHWA MAHAKAMANI ✊🏽
.
Watu wanne wanaotuhumiwa 'kutumwa na afande" kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dares Salaam leo Jumatatu Agosti 19, 2024 wamefikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka mawili.
.
Watuhumiwa hao wamefikishwa katika Mahakama ya Kanda Dodoma na kusomewa mashtaka ya kubaka kwa kikundi (gang rape) na kumwingilia kinyume na maumbile binti ambaye hakutajwa jina lake mahakamani.
20240819_205846.jpg
 
Fundisho:
Kila unapofanya uhalifu ni lazima utajulikana.
Damu ni nzito kuliko maji.
Mungu anatupenda sote na anahakikisha muda wote wanaotukosea wanajulikana.
Tujifunze kutenda mema.
 
Unarahisisha sana!

Ni hivi, kama alienda kuoga kabla hajapimwa na daktari basi ushahidi ni hafifu sana.

Kama alienda kwa maafande, na kwa kuwa kesi ina maslahi na "afande" na kwa hiyo Binti hakwenda kupimwa, basi ujue ushahidi umeharibika.
Ushahidi ulio haribika ni uthibitisho wa daktari, lkn uthibitisho wa video haujaharibika.

Mahakamani wakili wa binti atamuuliza binti swali moja tu, je urilidhia kulala na hawa mabwana kwenye video? Akisema hapana, basi hao majamaa wanakibarua kizito cha kuonyesha kua sio wao kwenye ile clip.

Anae toboa bila shida ni Jamaa alie waagiza tu. Unless
Kuoga mwenyewe ni ngumu. Fanya tu jamaa walikuwa pro wakamuogesha na pipe za maji kabisa, kesi ya ubakaji inakosa evidence.
Mkuu uko dunia ya wapi wewe? Hujawai sikia mtu kafungwa kwa kesi ya unyanyasaji kijinsia alio ufanya miaka 10 ilio pita? Hapo daktari anapima nn cha miaka 10 nyuma?

Lazima ujue kua zinakusanywa evidence nyingine, ambazo mpaka mtuhumiwa anashindwa kukataaa.
 
Ni askari na Force numbers zao zimeandikwa sasa yote tisa kumi tunamtaka huyo Captain aliyewatuma vinginevyo tutakuwa hatuelewi kitu chochote.

Kuthibitisha kuwa aliwatuma. Hapo ndiyo muziki ulipo. Kutoa uthibitisho mahakamani kuhusu jambo fulani kama hili, siyo jambo la kitoto.
 
Watu wanne wanaotuhumiwa ‘kutumwa na afande’ kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Agosti 19, 2024 wamefiksihwa mahakamani na kusomewa mashktaka mawili.

Watuhumiwa hao wamefikishwa katika Mahakama ya Kanda Dodoma na kusomewa mashtaka ya kubaka kwa kikundi (gang rape) na kumwingilia kinyume na maumbile binti ambaye hakutajwa jina lake mahakamani.

Akizungumza na waandishi wa habari nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania mkoani Dodoma, Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Mashtaka Makao Makuu, Renatus Mkude amesema vijana hao wamekana mashtaka hayo na kutokana na unyeti wa shauri hilo wataendelea kuwa mahabusu.

Watuhumiwa hao waliofikishwa mahakamani ni MT. 140105 Clinton Honest Damas maarufu Nyundo, Amin Lord Lema, Nickson Idala Jackson na C.1693 Playgod Edwin Mushi

Kwa mujibu wa taarifa ya Renatus Mkude, Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Taifa ya Mashtaka amesema kesi hiyo itasikilizwa kwa siku tano kuanzia leo Agosti 19 hadi Agosti 23 siku ya Ijumaa.

Pia soma:

1. Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

2. Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa
Makosa 2 tuu Kwa nini? Mengine yataandaliwa lini? 👇👇
Screenshot_20240819-220311.jpg
 
Huyu ndo yule dogo aliyekuwa anataka mavi tu?
 
Ili ionekane kabakwa ilipaswa kuwe na nini?Wazazi ndiyo wanathibitisha kwa lipi?Mtaalamu wa saikolojia ndiyo atathibitisha ubakaji akiwa anamuhoji?
Haya tuashume hawajambaka.

Binti ana miaka 14. Kwa sheria zetu haziruhusu kulala na binti at that age, tayari inasoma ni ubakaji. Hao jamaa bado wanachomoka?
 
Back
Top Bottom