Watu 4 wanaotuhumiwa ‘kutumwa na afande’ kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya Mkoani Dar, Wafikishwa Mahakamani

Changamoto ya hii kesi siyo ushahidi ila ni aina ya ushahidi utakaotolewa.

Ushahidi wa video na picha unaonekana rahisi sana ila kanuni zake za kuuwasilisha mahakamani ni ngumu kiasi.
Changamoto kivipi? Video zipo ,binti aliyebakwa yupo ,sura za wabakaji wanaonekana live ,binti baada ya kubakwa aliumwa sana means alikuwa siyo mzoefu na jambo lile ni geni kwake.

Hakuna ugumu ,ushahidi upo wazi ,hapo iliyobaki kumjumuisha na huypo mafadhili wao afande washitakiwe kwa pamoja.
 
Huyo aliyetambuliwa kama MT.140105 ni mgqmbo au?
 
Tunaomba picha km 10 za huyo mfadhili na mumewe tuwaone maana haieleweki hii kitu kwanini hawaonyeshwi?
 
dah mpk unawasikitikia, vijana bado wadogo kabisaa hawa!Afande kawaponza na ukute waliliazimishwa na Afande wafanye kile kitendo!
 
Mbona hawajaumia hata kidogo? Wasafi hivi walikua mahabusu gani hawa warembo
 
Aliyewatuma ni rahisi sana kukana kwa sababu hakuna ushahidi wa moja kwa moja lakini kitengo cha cyber crime kikiamua kinaweza.Lazima kuna mawasiliano ya namna moja au nyingine.
Aliyewatuma lazima alikuwa na mawasiliano ya karibu sana na watu hao.

Hii kesi angesimamia Kibatala na Team yake.

Ila kwa Mawakili wa Chama hawa, madogo watachomoka wanaweza kuambulia Kulipa Faini ya laki tano tano tu.
 
They look innocent kabisa.....Daah
 
Aliyewatuma lazima alikuwa na mawasiliano ya karibu sana na watu hao.

Hii kesi angesimamia Kibatala na Team yake.

Ila kwa Mawakili wa Chama hawa, madogo watachomoka wanaweza kuambulia Kulipa Faini ya laki tano tano tu.
Kuna uwezekano kumblack mail mtuhumiwa kwa kumpa kesi ya umalaya ashindwe kutoa ushahidi unaomlenga afande aliyetajwa.Jeshi la polisi ni bingwa wa kulindana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…