Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Hao ndiyo wafiraji/mashoga?View attachment 3074234
WABAKAJI WAMEFIKISHWA MAHAKAMANI ✊🏽
.
Watu wanne wanaotuhumiwa 'kutumwa na afande" kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dares Salaam leo Jumatatu Agosti 19, 2024 wamefikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka mawili.
.
Watuhumiwa hao wamefikishwa katika Mahakama ya Kanda Dodoma na kusomewa mashtaka ya kubaka kwa kikundi (gang rape) na kumwingilia kinyume na maumbile binti ambaye hakutajwa jina lake mahakamani.
Huna akili!Watu wanajua kuzusha sana bongo, walikuwa wanasema ni wanajeshi Sasa hao ni.wanajeshi wa wapi? Au huyo mmoja kuvaa likitambaa lenye rangi zinazofanana na Jeshi?Wahalifu huita mara nyingi KIONGOZI wao Kamanda, afande, hivyo kutaka neno afande haimaanishi ni afande kweli. Wapate adhabu Kali ili iwe fundisho kwa wengine maana kwa ujinga walioufanya tayari umeleta madhara kwa wasiohusika na kwa Taifa kwa ujumla
Hoja ya uthibitisho wa video ni ya msingi kwa sababu maelezo ya historia ya kesi, ushahidi muhimu ni wa video.
Sasa unabisha hadi maelezo yaliyotolewa.kweli wewe bonge la wakili msomi.Labda kama ingekuwa kesi ya madai.
Jinai siyo kesi ndogo hata ikiwa ya wizi wa kuku.
Amekuwa mhalifu wa taifaJW mlinzi wa Taifa ( MT)
Ili ionekane kabakwa ilipaswa kuwe na nini?Wazazi ndiyo wanathibitisha kwa lipi?Mtaalamu wa saikolojia ndiyo atathibitisha ubakaji akiwa anamuhoji?Binti ndiyo aliyebakwa na wazazi walienda kufungua kesi polisi kwamba binti yao kubakwa....Je Binti alibakwa kweli? Kwa maelezo ya polisi baada ya kumuhoji alisema kwamba alibakwa hivyo wakaona ni njema wampe mtu wa saikolijia na kumtenga safe house kwa ushauri/nasaha ,Kuthibitisha kwamba alibakwa/lawitiwa hapa ni swala la wataalamu-Forensic investigation.
Binti alitekwa akapelekwa ghetto akabakwa - Hapa litaitishwa gwaride la utambuzi.
Asante dadaHuna akili!
Na nyie mnajifanya wajuaji sana, kwa hiyo wangeacha kwanza kuwapeleka mahakamani kwa kuwa kuna suala la Ngorongoro?Huu ni mtego na watu wamenasa, tayari upepo umehama
Inawezekana maana mpaka wasanii wameongelea hii ishu ya kubakwa badala ya ngorongoro. Mchezo umehamishwa.
The last time I checked the additional narration of MT was Military Trained solidier.JW mlinzi wa Taifa ( MT)
Na nyie mnajifanya wajuaji sana, kwa hiyo wangeacha kwanza kuwapeleka mahakamani kwa kuwa kuna suala la Ngorongoro?
Unashika shika sana visimi na mkono mkuu mpaka vidole vimezoea😂🤣🤣🤣 Kisomi nilichanganya
What about the simcard ?who was it registered to?Does it belong to the suspect smoking what looks like cannabis and filming himself while the Act was happening?Is smoking cannabis legal?Does the simcard belong to the victim?Hayo majibu yakipatikana ndiyo wataelekea huko kwenye device.Ushahidi ni mzito hata kwa kingereza au kiswahili hawatoboi,anayetoboa ni aliyewatuma,wakijifanya wajuaji sana kuna watalamu wa cyber crime wamguse mpaka aliyewatuma.Unaonekana rahisi ila ugumu upo hapa👇
The admissibility of electronic evidence is governed by the Electronic Transactions Act, 2015.
Under section 18 of the Electronic Transaction Act, all what is needs to be proved in order to have the electronic evidence admitted in Court as exhibit is the reliability of the electronic evidence regarding the way the recording was taken and how it was kept until it was brought to Court as evidence.
The witness who seeks to produce electronic evidence must first lead evidence that rules out the possibility of manipulation of the electronic evidence before seeking to tender it.
Before seeking to tender the electronic evidence, the witness should satisfy the Court by evidence that the electronic evidence sought to be tendered is authentic.
This is done by proving the mechanical working condition of the device at the time of recording, how the recording was done, by whom it was done and stored until the evidence was produced in Court.
If the electronic record was transformed into secondary media like flash, the mode of transformation into secondary media should also be proved.
Kununua mtu anayejiuza ni biashara halali? Na wewe unataka kuwa kama yulealiye hamishwa?kuna madai kuwa mwanamke huyo alikuwa anajiuza, yaani kazi yake ni ukahaba.
kama ni hivyo basi hapo hamna kesi.
labda washitakiwe kwa kosa la kusambaza picha za ngono.
Sio ujuaji, ila ni namna ya kutazama jambo nje ya box, wanajua namna ya kucheza na akili za watanzania.Na nyie mnajifanya wajuaji sana, kwa hiyo wangeacha kwanza kuwapeleka mahakamani kwa kuwa kuna suala la Ngorongoro?
Polisi wanabadilika badilika kulingana na upepo unavoendaBinti ndiyo aliyebakwa na wazazi walienda kufungua kesi polisi kwamba binti yao kubakwa....Je Binti alibakwa kweli? Kwa maelezo ya polisi baada ya kumuhoji alisema kwamba alibakwa hivyo wakaona ni njema wampe mtu wa saikolijia na kumtenga safe house kwa ushauri/nasaha ,Kuthibitisha kwamba alibakwa/lawitiwa hapa ni swala la wataalamu-Forensic investigation.
Binti alitekwa akapelekwa ghetto akabakwa - Hapa litaitishwa gwaride la utambuzi.
What about the simcard ?who was it registered to?Does it belong the suspect smoking cannabis and filming himself while the Act was happening?Does it belong to the victim?Hayo majibu yakipatikana ndiyo wataelekea huko kwenye device.Ushahidi ni mzito hata kwa kingereza au kiswahili hawatoboi,anayetoboa ni aliyewatuma.
Hata Polisi wapo andunje kuna mmoja alikuwa maarufu sana miaka ya nyuma ni Mzigua jina limenitoka alikuwa traffic alishanikamta mara kibao maeneo ya Namanga Oysterbay.Mambo ya urefu ni polisi, uhamiaji sio JWTZ
Unashika shika sana visimi na mkono mkuu mpaka vidole vimezoea😂
Sasa unabisha hadi maelezo yaliyotolewa.kweli wewe bonge la wakili msomi.