JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Jumla ya watu 53 wamepotea kuanzia Agosti mosi mpaka Agosti 31 mwaka 2024, ambapo jumla hii ni kwa wale tu waliofika kwenye ofisi za ITV Mikocheni Dar es Salaam, na taarifa zao kutangazwa kupitia kipindi cha Yu...Wapi?.
Mgawanyo ya Watu waliopotea
Chini ya miaka 18 - 21 (Wanawake 8, Wanaume 13)
Zaidi ya Miaka 18 – 32 (Wanawake 12, Wanaume 20)
Mgawanyo wa Gender katika idadi ya 53 waliopotea
Wanawake - 20
Wanaume - 33
Mgawanyo wa Mikoa katika idadi ya 53 waliopotea
Dar – 42
~ Ubungo 14
~ Kinondoni 12
~ Ilala 8
~ Temeke 7
~ Kigamboni 1
Nje ya Dar - 11
Kati ya Watu 53 waliotangazwa na ITV kupotea, kati yao waliokuwa na changamoto ya Afya ya Akili ni 15
Chanzo: ITV