Watu 60 wajiua kwa kuaibishwa na mikopo ya mtandaoni India. Ni kama utapeli unaofanywa Tanzania

Hivi kabla hujakopa, vigezo na masharti huvipitii?. Sisi wabongo asili yetu ni wezi na matapeli. Tala na branch mliwafungashia virago acha hawa wengine wawanjooshe

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787]
 
hao watu ofisi zao zipo wapi hapa bongo?
 
Kumbe, ngoja nikope hata wakiaccess info zangu sina mambo ya ajabu ya kutisha labda pale watakapotumia sms wazazi wangu na kaka yangu kuwa mimi ni tapeli ndio watanchafua kwa hilo[emoji133]
Mimi nilikopa na ndugu zangu wote wakaribu niliwaambia wametuma sms mpaka wamechoka siku iz wanatuma sms moja moja ngoja nione mwisho wao
 
Walimpigia sister nikamwambia aachane nao matapeli hao wamekuja na njia mpya sidaiwi sehemu yoyote
 
 
Safi sana. Ingekuwa uwezo wangu, nngeruhusu makampuni ya kitapeli kufanya kazi nchini bila ht kulipa kodi ili iwanyooshe wapumbavu.
Ni kweli. Hawa jamaa hawana ofisi, ila wanafanya biashara ya kukopesha pesa. Wanatumia njia ya udhalilishaji kwa sababu hawana dhamana zaidi ya contact list yako uliyowapa. Hao ndio Pesa X, nasikia sana vilio vyake mitandaoni. Serikali ichukue hatua!
 
Ni kweli. Hawa jamaa hawana ofisi, ila wanafanya biashara ya kukopesha pesa. Wanatumia njia ya udhalilishaji kwa sababu hawana dhamana zaidi ya contact list yako uliyowapa. Hao ndio Pesa X, nasikia sana vilio vyake mitandaoni. Serikali ichukue hatua!
Hapana, serikali isichukue hatua kali dhidi yao, Mm nashauri serikali iwalegezee masharti ili wafanye kazi hadi vijijini tena bila kodi
 
 
Acheni uoga mimi sina shida ya hela ila nimekopa kampuni zote na wakinipigia nawaambia cha mgema uliwa na mlevi ,mlevi ndio mimi maana hakuna kampuni iliyopewa kibali kukopesha na BOT ndio maana wana riba za ajabu ajabu,tutafune pesa watakimbia wenyewe
 
Hatari hii
 
Hizo app zote majina yamekaa kitapeli
Usishangae nyingi ni za akina Mwigulu na magenge yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…