Watu 60 wajiua kwa kuaibishwa na mikopo ya mtandaoni India. Ni kama utapeli unaofanywa Tanzania

Hizo app zote majina yamekaa kitapeli
Usishangae nyingi ni za akina Mwigulu na magenge yao
Hizi zote unaweza kuta meneja mkuu ni Nape, jamaa ana lisura la kitapeli tapeli hivi..
 
Hao Matapeli wasifungiwe ili waendelee kufanya kazi kwa sababu Mimi nishaanza kufanya Research yangu namna ya kuwapiga na kitu kizito na wasinifanye chochote...Research ikikamilika nikaweza kuwapiga mzinga Mrefu nitawapa namna...Ila BOT na TCRA chonde chonde msiwafungie saivi.
 
 
Hakuna Nchi Duniani iliwahi fanikiwa kutokomeza Utapeli na wizi,magendo au dawa za kulevya.

Serikali zinachofanya ni kupunguza hali isiwe at alarming rate au kuwa in excess
Serikali zenyewe tu zinaendeshwa kitapeli.
Kazi kwelikweli
 
BORAPESA wanaibisha balaa,usijaribu.wanatuma picha yako na kitambulisho kwa wote uliowa save kwenye sim
 
Kopa, usiruhusu kuwapa access ya simu yako, kisha hulipi deni. Full stop

ukideny haiendeli.

Pia programing inaweza kupigwa hivi


[IF pressed Yes, ALLOW, or IF pressed No, ALLOW].

Programming miyeyusho sana. Huwa siamini tunavyogusa DENY tunakua tumedeny kweli. Sababu operation inafanyika nyuma na wewe huoni kinachoendelea.
 
Hiyo inawezekana, ila playstore au itunes wakigundua coding yako ina kitu kama hicho, wanaiondoa app yako dukani muda huo huo, issue ni kuireport vya kutosha
 
 
Kopa, usiruhusu kuwapa access ya simu yako, kisha hulipi deni. Full stop
Usipowapa access hupati mkopo na wala huendi hatua ya mwisho ya kupata mkopo.

Swali langu ni kwamba bip ukikopa then baada ya kupata hela ukafuta app ni kwamba hawatokuwa na access au nikiformat simu au ndo yale yale tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…