Watu 7 wafariki dunia kwa ajali wakitoka kufurahia Simba Day

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Watu saba(7) wamefariki baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugonga lori lililokuwa limeharibika na kusimama barabarani katika Kijiji cha Kongo kata ya Bukwe wilayani Rorya, mkoani Mara.

Ajali hiyo imetokea alfajiri ya leo Septemba 11, ambapo watu hao saba walikuwa kwenye gari dogo aina ya Probox yenye namba za usajili T.625 DYV ambayo iliyogonga lori lililokuwa limeharibikia barabarani.

Inaelezwa kuwa watu hao jana Septemba 10, walitokea Kijiji cha Utegi kwenda Tarime Mjini kufurahia 'Simba Day 'na Usiku walianza safari yao kutoka Tarime mjini kurudi Utegi walipofika katikati ya Kijiji cha Kongo kata ya Bukwe wilayani Rorya ndipo walipolivaa lori hilo.

Jambo TV imezungumza na Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Tarime, Yonah Charles amethibitisha vifo vya watu hao akieleza kuwa alfajiri yaleo wamepokea miili ya watu saba watatu wakiwa wanawake na wanne wanaume wakiwa wamefariki kutokana na ajali.
1757581479133.png

Chanzo: Jambo Tv​
 
View attachment 3469479
Duh hatari
 
Kwenye gari walikuwa wangapi jumla?
 
Ila wapenzi wa simba jana walitufurahisha sana.
Kama sio viongozi, simba ingekua timu nzuri yenye hadhi ya kaka zao DYA.
 
Watu saba(7) wamefariki baada ya gari walilokuwa wakisafiria kugonga lori lililokuwa limeharibika na kusimama barabarani katika Kijiji cha Kongo kata ya Bukwe wilayani Rorya, mkoani Mara.

Ajali hiyo imetokea alfajiri ya leo Septemba 11, ambapo watu hao saba walikuwa kwenye gari dogo aina ya Probox yenye namba za usajili T.625 DYV ambayo iliyogonga lori lililokuwa limeharibikia barabarani.

Inaelezwa kuwa watu hao jana Septemba 10, walitokea Kijiji cha Utegi kwenda Tarime Mjini kufurahia 'Simba Day 'na Usiku walianza safari yao kutoka Tarime mjini kurudi Utegi walipofika katikati ya Kijiji cha Kongo kata ya Bukwe wilayani Rorya ndipo walipolivaa lori hilo.

Jambo TV imezungumza na Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Tarime, Yonah Charles amethibitisha vifo vya watu hao akieleza kuwa alfajiri yaleo wamepokea miili ya watu saba watatu wakiwa wanawake na wanne wanaume wakiwa wamefariki kutokana na ajali.

1757584683977.png
 
Wapumzike kwa amani ndugu hawa ambao kumbe hawakuwa wamesikia hata mambo ya michezo kwa muda, tumewaachia hawa wanaotupora haki kwa kutumia nguvu:

G0X8xrYXwAAHYUe.jpeg

Kwamba michezo au tamasha lipi kwenye rojo hili?
 
Wapumzike kwa amani ndugu hawa ambao kumbe hawakuwa wamesikia hata mambo ya michezo kwa muda, tumewaachia hawa wanaotupora haki kwa kutumia nguvu:

View attachment 3469488

Kwamba michezo au tamasha lipi kwenye rojo hili?
Duh nilikurupuka ile reply nikajua ni chawa kumbe sikusoma kwa umakini mkuu
 
Back
Top Bottom