Duh nilikurupuka ile reply nikajua ni chawa kumbe sikusoma kwa umakini mkuu
Kwa Mwonekana tu hiyo gar isingepaswa tembea barabarani , kumbe na wewe umeona?Mipombe changanya gari bovu basi tuseme wapumzike wanapostahili..!!
Gari limebongonyoka km yale ya matope 😹Kwa Mwonekana tu hiyo gar isingepaswa tembea barabarani , kumbe na wewe umeona?
Sio kila uzi uweke siasaPole sana
japo hatupangiani vitu ila nina uhakika hao vijana wengi wao hawajui kama Lissu yupo gerezani
Mgari kama huu traffic anaacha upite kwa buku mbili tu , mwisho wa siku linatawanyikia barabarani, halafu hii gari inapakiaje watu saba ?Gari limebongonyoka km yale ya matope 😹
Kingine wanaonekana walikuwa bwii
Sio kila uzi uweke siasa
POASio kila uzi uweke siasa