a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 4,014
- 4,600
na DR ULIMBOKASativa
na DR ULIMBOKASativa
📌Tindu lissu8(Tundu Antipass Lissu)
Alipigwa risasi zaidi ya kumi mwilini mwake lakini alitoka salama,na bado akaendelea kupeleka moto kule mboga mboga..
Kwani huyu aliponaje huko porini....? Hivi majuzi kati pia tumesikia kisa cha yulena DR ULIMBOKA
Bika hii, hio list ni batili.Cccm kuendelea kuwa chama Tawala TazagizA
Yaani acha TU ilisikitisha sana sanaaLile tukio la watu kukwama katika like ghorofa mwaka jana linahuzunisha sana. Mtu alikuwa anaona kabisa anakwenda kufa kwa kukosa msaada wa haraka 🥲.
Mimi sijawai kua na maisha magumu..dar life jepesii ukiwa na connection ama kujituma☺️😊Shida nini life gumu sana au hahahaha poleni sana..nilikuwa na mpango nirudi bongo ila siji tena
Kuna watu walikuwa wanatumia message ya kuwaaga wapendwa wao kwa sababu walikuwa wanaiona kifo live 🥲.Yaani acha TU ilisikitisha sana sanaa
Inauma sanaaKuna watu walikuwa wanatumia message ya kuwaaga wapendwa wao kwa sababu walikuwa wanaiona kifo live 🥲.
Wapumzike kwa amani.Inauma sanaa