Watu 7 walionusurika kwenye mazingira ambayo sio ya kawaida

Shida nini life gumu sana au hahahaha poleni sana..nilikuwa na mpango nirudi bongo ila siji tena
Mimi sijawai kua na maisha magumu..dar life jepesii ukiwa na connection ama kujituma☺️😊

Wewe si upo ma mbeleeeeee huko ulayaaaa komaa huko hukooo

Dunia Ina mengi Money can't buy happiness kaka.
 
Huu uzi bila kumuweka Sativa, basi mtoa uzi hajui mazingira hatari.....ile ya Sativa ni zaidi ya hao wote kwa sisi ambao tumebahatika kufika na kulijua eneo alilotupwa........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…