The Loyalty King
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 1,298
- 2,124
Power struggle --- Mkiambiwa dini ni human made so ni scammer hamtaki kuelewa , sasa kinacho wafanya hapo wapigane na kuuwana ni nini kama sio kugombania madaraka na influence, na kama Mungu yupo na Ndiye mwenye Hiyo dini kweli why aruhusu watu wake wagawanyike na mpaka wafikie hatua ya kuuana !?
Dini ni scammer ndio maana hayo makundi mawili yanavutana kwasababu kila kundi linataka liwe ndio lenye mamlaka ya kutambulika kuwa ndio kundi Sahihi na endapo likifanikiwa ktk Hilo litakuwa ndio kundi lenye influence kubwa kisiasa kitamaduni na kijamii