The Loyalty King
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 1,298
- 2,124
People were still savages back then(year 1204) the civilization of the 21st century kupigana wenyewe kwa wenyewe kisa utapeli wa maandishi ya kwenye Quran/Bible ni upumbavu uliokithiri.Vita vya Msalaba kati ya Wakristo wa Magharibi na Wakristo wa Mashariki
Mwaka: 1204
Maelezo: Wakati wa Msalaba wa Nne (Fourth Crusade), wanajeshi wa Kikristo wa Ulaya Magharibi walishambulia na kupora mji wa Kikristo wa Constantinople, mji mkuu wa Dola ya Byzantine (Orthodox). Tukio hili lilisababisha mpasuko mkubwa kati ya Wakatoliki na Waorthodoksi wa Mashariki.
Does this 👆 justify what has happened in Pakistan?Mgogoro wa Tigray, Ethiopia
Mwaka: 2020–2022
Maelezo: Vita vya wenyewe kwa wenyewe vya Tigray vilihusisha jamii nyingi za Kikristo, ikiwa ni pamoja na Waorthodoksi wa Ethiopia. Ingawa vita hivi vilikuwa vya kisiasa, baadhi ya makanisa ya Kikristo yalivutwa katika mzozo huu, yakisababisha mivutano na mauaji ndani ya jamii za Kikristo.
Bado haihalalishi kuuana kati ya Wasuni na Washia, upuuzi juu ya upuuzi.Vita vya Dini vya Ulaya
Miaka: 1524–1648
Maelezo: Hizi zilikuwa vita kati ya Wakatoliki na Waprotestanti zilizotokea baada ya Matengenezo ya Kanisa ya Martin Luther mwaka 1517.
Wameuana wapakistan hapo uislamu inaingiaje? Jamii ya waarabu na wagiriki wanajulikana ni watu wa kukichafua sasa nyinyi matukio yao yote hata lazima Uislam uwekwe
Unajiona umeandika cha maana hivi. Kumbe 0Bado haihalalishi kuuana kati ya Wasuni na Washia, upuuzi juu ya upuuzi.
Hizi dini mlizobambikizwa na kuwa brainwashed kiasi cha kushindwa hata kutumia common sense ni janga kubwa mno.
I've been checking your replies, hakuna hata post uliyoweza kuijibu zaidi kuweka mabandiko ambayo kwa yoyote mwenye uelewa japo wa elementary level anakubaini kuwa hauna majibu bali unatafuta kujifariji kwa kuamini kuwa kile unachdhania kuwa ni madhaifu au mapungufu kwa wengine basi kwako ni faraja.Unajiona umeandika cha maana hivi. Kumbe 0
Sass umeandika utumbo gani?I've been checking your replies, hakuna hata post uliyoweza kuijibu zaidi kuweka mabandiko ambayo kwa yoyote mwenye uelewa japo wa elementary level anakubaini kuwa hauna majibu bali unatafuta kujifariji kwa kuamini kuwa kile unachdhania kuwa ni madhaifu au mapungufu kwa wengine basi kwako ni faraja.
Hakuna chochote ulichopost kinachoonyesha kuwa at least umejaribu kufafanua mapigano na kuuana kati ya Sunni na Shia yamesababishwa na kitu gani, malengo na kuuana huko nini na wa kulaumiwa ni nani.
Kukubali kupofushwa na doctrine za kipumbavu ni upuuzi kwani kama unatumia common sense hauwezi kuwa brainwashed kiasi cha kujitoa ufahamu kuwa kama mwehu.
Soma posts na toa majibu sensible kama mtu mwenye akili timamu.
Bado ni wapakistani na waarabu na ndio ushia na usunni kwao ni vita, sisi wengine mashia na sunii ni just sect TU we focus on common interests not differences kwa Muislam anaye reason Kwa kutumia akili
Jamaa alikuwa mjanja sana, hana tofauti kubwa na kina T.B. Joshua na hawa kina Gwajima wa hapa TanzaniaWanasema mudy anaweza akawa miongoni mwa binadamu waliowahi kuwa wanafiki zaidi duniani. Alisisitiza jambo hili, alifanya jambo lile. Alifanikiwa sana kuficha vile alivyo.
Kawalisha matango pori wenzake eti usipojua kutamka maneno ya swala kwa kiarabu, huendi mbinguni, kujitwalia mabikraJamaa alikuwa mjanja sana, hana tofauti kubwa na kina T.B. Joshua na hawa kina Gwajima wa hapa Tanzania
Kiufupi alikuwa mjanja sana na shetani alichangia kumpa maarifa ya kutawala watu wa karne ile kaika ule ukanda wa dunia.Kawalisha matango pori wenzake eti usipojua kutamka maneno ya swala kwa kiarabu, huendi mbinguni, kujitwalia mabikra