Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Ina maana Dar walitoka saa ngapi hawa jamaa? 😎Watu tisa wamefariki dunia na wengine watatu kujeruhiwa katika ajali ya gari aina ya hiace lenye namba za usajili T 249 BWT inayotumika kubeba magazeti iliyokuwa ikitokea jijini Dar es Salaam kuelekea Jijini Mbeya.
Akithibitisha kutokea kwa ajali hiyo Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa ACP. Allan Bukumbi amesema ajali hiyo imetokea katika kijiji cha cha Mahenge Wilayani Kilolo Mkoani Iringa majira ya saa 10 alfajiri.
Kamanda Bukumbi amesema chanzo cha ajali hiyo ni mwendo kasi ambapo gari hilo lilimshinda dereva kwenye kona na kupinduka.
Ifikie mahala jamaa wangebadili mfumo tu kusafirisha gazeti kwenye hiace sio safe kabisa. Bora hata wangenunua wagons za kijerumani au gari za chini ambazo ziko stable zaidi with powerful engines!Bado kuna watu wanapanda hizo chinja chinja wakati siku hizi kuna new force ya usiku
Au waingie ubia Na gari za It,ni nyingi, buggat itapendeza hahaIfikie mahala jamaa wangebadili mfumo tu kusafirisha gazeti kwenye hiace sio safe kabisa. Bora hata wangenunua wagons za kijerumani au gari za chini ambazo ziko stable zaidi with powerful engines!
Tatizo nyingi ni ndogo ndogoAu waingie ubia Na gari za It,ni nyingi, buggat itapendeza haha
Mkuu waambie njia mpya wapate kujuaHawa watu wa magazeti na posta wanajionaga wajanja sana kwenye mwendo kasi na huwa wanajisifia....
Wasipobadilika watakwisha.
Halafu hii staili ya usafirishaji wa magazeti mbona ya kizamani sana...?....