Duh......wapare wabishi sana!
Hahahaaaa.......!Naona umejibu post kama great sinker
Jr[emoji769]
Wewe ni kundi la pili bwashee soon watakufikia!Waongo wakubwa hilo kundi la kwanza Mimi mwenyewe nina kitambulisho cha nida na sijasajili kwa alama ya vidole na haijafungwa. Yaani wanapiga mkwara unaofanana na yule mbwa anayebweka huku kaficha mkia kwenye miguu yake ya nyuma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nina lain Zangu Mbili Zimefungwa nilisajili kwa kitambulisho cha mtu Mwingine wakati uleHawa watu ni waongo sana, hakuna aliyefungiwa Line hata MTU mmoja! Nasema hakuna
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unawafungulia mashtaka kwa kukutishia amani, halafu hata kitisho chenyewe ulipojiandaa kukikabili hakikutokea kweli, hivyo wamefanya udanganyifu, na hapo napo utawashitaki kwa udanganyifu uliokuvunjia amani zaidi bila sababu ya kweli.Mimi bado nadunda hewani, NIDA walinitumia namba ila sijaenda kutia dole.... napanga kuwafungulia mashtaka kwa kunitishia amani na kisha kushindwa kuzima line yangu.
Ndio maana wako kundi la mwisho bwashee!Hili Kundi la tatu Linaonewa, Hili kundi 90% Wameshajiandikisha ila hawajapata namba wala kitambulisho cha Nida
Jamaa kajibu vizuri kabsa ngoja tuendelee kudunda team vitongaNiliongea na boss mmoja wa Vodacom nikamuuliza mbona line ambazo hazijasajiliwa kwa alama za vidole hazijafungwa? Akaniambia sisi kama Vodacom hatuwezi kufunga line ya mteja maana tunafanya biashara, hiyo kazi kufungia line ni ya tcra, hapo nikajua Hakuna kitu
Sent using Jamii Forums mobile app