Watu 900,000 wameshafungiwa line zao za simu, ni wale wenye vitambulisho lakini hawakuvitumia kusajili line zao

Watu 900,000 wameshafungiwa line zao za simu, ni wale wenye vitambulisho lakini hawakuvitumia kusajili line zao

Waongo wakubwa hilo kundi la kwanza Mimi mwenyewe nina kitambulisho cha nida na sijasajili kwa alama ya vidole na haijafungwa. Yaani wanapiga mkwara unaofanana na yule mbwa anayebweka huku kaficha mkia kwenye miguu yake ya nyuma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni kundi la pili bwashee soon watakufikia!
 
Hili Kundi la tatu Linaonewa, Hili kundi 90% Wameshajiandikisha ila hawajapata namba wala kitambulisho cha Nida
 
Mimi bado nadunda hewani, NIDA walinitumia namba ila sijaenda kutia dole.... napanga kuwafungulia mashtaka kwa kunitishia amani na kisha kushindwa kuzima line yangu.
Mkuu unawafungulia mashtaka kwa kukutishia amani, halafu hata kitisho chenyewe ulipojiandaa kukikabili hakikutokea kweli, hivyo wamefanya udanganyifu, na hapo napo utawashitaki kwa udanganyifu uliokuvunjia amani zaidi bila sababu ya kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
serikali ya wanyonge inafurahia kuwafungia line za simu wanyonge wake
 
Niliongea na boss mmoja wa Vodacom nikamuuliza mbona line ambazo hazijasajiliwa kwa alama za vidole hazijafungwa? Akaniambia sisi kama Vodacom hatuwezi kufunga line ya mteja maana tunafanya biashara, hiyo kazi kufungia line ni ya tcra, hapo nikajua Hakuna kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa kajibu vizuri kabsa ngoja tuendelee kudunda team vitonga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom