Watu ambao asili yenu ni mjini, hamkujui kijjini kwenu, mnalichukuliaje hili swala?

Watu ambao asili yenu ni mjini, hamkujui kijjini kwenu, mnalichukuliaje hili swala?

Kwani lazima wote tuwe na vijiji.. !! Kama mimi vizazi vyangunwote ni borntown.

Msikariri mambo ya vijiji kwamba kila mtu katoka huko misenyi sijui chato mara muleba. Wengine born here here, hata babu yangu hajui huko mnapopaita kijijini.

So, mrelax kama wewe unakijijini kwenu nenda kapajue. And life goes on
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nenda kijijini kwenu acha kujifariji hapa. Lol
 
Wazaramu utawapeleka wapi wakati Chanika ni sehemu ya mji na kadri unavyopanuka Kisarawe nayo itakuwa ni sehemu ya mji
Wao ndo wabaki hapo ni kwao, sasa mngoni anajitapa yeye wa Temeke, [emoji23][emoji23][emoji23] kumbe kwao Litapwasi huko lol.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nenda kijijini kwenu acha kujifariji hapa. Lol
Sina kijijini mimi msitake kuleta usawa.. kuwa na kijijini sio lazima😄😄
 
View attachment 2053478

Tanzania tuna makabila zaidi ya 120 na yote yana asili yake yalipotoka na mkataa kwao ni mtumwa.

Kumekuwa na ongezeko la watu siku hizi ambao wanazaliwa mjini na vijijini kwao hawakujui kabisa, mtu unaweza kumuuliza wewe ni mhaya, mnyakyusa, n.k wa wapi, anakwambia yeye ni mngoni, msukuma, n.k wa karakoo.

Je kwa watu wa mjini wanalichukuliaje swala la mjini kuwa asili yao bila kujua mizizi yao viijini?

Mfano mimi ni mtu naeishi mkoa flani wa nyanda za juu kusini na nimezaliwa huku lakini asili yangu ni mkoa wa Mara (mkoa huu unaongozea kwa makabila mengi hawapo wakuria pekee), siijui kikamilifu lugha lakini tangu zamani nikiwa mtoto tulikuwa tunaenda na mzee kila mwaka, hali hii menifanya nijuane kwa karibu na ndugu zangu, kujua mila na tamaduni kadhaa, ngoma, matambiko (kila kabila lina matambiko) n.k.

Kila mtu ana asili yake na mkoa wake.....na hao ndio wanaosumbua kutaja kabila zao. Hakuna mngoni, mkurya,mchaga,muhaya wa Arusha,Mbeya,Dar au Mwanza.

Mjenge utamadunu wa kurudi vijijni kwenu na mjuane na ndugu wa ukoo wako. Usijivunie mahali pasipo asili yako.

Muhimu: Hii inawahusu wale ambao makabila yao hayana sana changamoto ya kutupiana makombora ( guided missles ), hawa tunaweza kuwaelewa kwa kiasi
Mi kwetu kuna makombora ya kutosha na wazee wangu wote upande wa baba wameshatunguliwa...halafu niende kufanyaje?
 
Back
Top Bottom