Watu ambao asili yenu ni mjini, hamkujui kijjini kwenu, mnalichukuliaje hili swala?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nenda kijijini kwenu acha kujifariji hapa. Lol
 
Wazaramu utawapeleka wapi wakati Chanika ni sehemu ya mji na kadri unavyopanuka Kisarawe nayo itakuwa ni sehemu ya mji
Wao ndo wabaki hapo ni kwao, sasa mngoni anajitapa yeye wa Temeke, [emoji23][emoji23][emoji23] kumbe kwao Litapwasi huko lol.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nenda kijijini kwenu acha kujifariji hapa. Lol
Sina kijijini mimi msitake kuleta usawa.. kuwa na kijijini sio lazima😄😄
 
Mi kwetu kuna makombora ya kutosha na wazee wangu wote upande wa baba wameshatunguliwa...halafu niende kufanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…