Watu ambao dunia haitawasahau

Watu ambao dunia haitawasahau

Huyu mwanamama naziheshimu sana kazi za mikono yake,

R.I.P
Alikuwa kichwa sana.

Na ni mfano wa kuigwa kwa akina Mama, inawezekana hata kwa jinsia ya kike.

Michanganyiko ya Makemikali aliokuwa akiyafanyia kazi ndio yaliomwondoa Ulimwenguni.

Alale unono huko alipo
 
John Cena.


childhood-photos-of-john-cena.jpg


1a8a0b965bacff79a02aebb5087d81e9.jpg


JohnCenaRarePhotos21


john_cena-11874.jpg


john-cena-pictures-21.jpg


john-cena-youtube-01.jpg


cena-fan1.jpg


361285-john-cena-2.jpg
 
Binafisi naamini hapa duniani kila mtu anajambo alilowahi kulifanya na kupelekea jamii yake kubaki ikimkumbuka daima.

Jambo linaweza kuwa jema au baya,lakini bado atakumbukwa kwa hilo.binafsi kwa hapa tanzania ukitoa baba wa taifa anayefata kwa sasa ni Ngoyai LOWASA, ndugu huyu katuonesha kwa vitendo anavyoweza kujisimamia mwenyewe katika kila kitu.

Tuachane na hapa kwetu, je unajua kina hitller ,musolin,dagama,newton,faraday,erenest eisday,laberty ni baadhi ya mashujaa wa hii dunia?

Naomba muniongeze wengine ambao dunia inawatambua,na matukio yao.
Bila ya kumsahau the father of Afrobeat Mzee Fela Ransome Anikulapo Kuti.. Hapo picture ya kwanza akiwa na baashi ya wake zake (jumla yao ilikuwa 26)
1459787529998.jpg
1459787595999.jpg
 
diamond Platnumz kw kuleta mapinduz kwny tasnia ya bongo fleva
 
Nimeangalia kwenye mitambo yangu inaonesha MC Hammer You can't touch, bila shaka ulimaanisha You can't touch this na Have you seen her, na si ice ice baby.

Ngoja niziweke hapa chini kwanza uzisikilize
Thanks kiongozi si unajua long time sana haya mambo..!
 
Pele - Alisimamisha Vita kwa muda ili watu wamshuhudie utabe wake.

2Pac - Alifanya Ambacho Hakuna Mtu anayeishi ktk utamaduni Wa Hip Hop atafanya.

Che Guevara - Kiroho Safi aliwapa "wadhungu" wenzake mkong'oto "heavy" ili waafirika na kwingineko tuwe huru.

Sankara - Mnakumbuka jinsi alivyokua mzalendo wa kweli kwa taifa lake? Vipi kuhusu ule mpango Wa chanjo? Hakika tutakukumbuka Sankara.

Nyerere - Nchi Kuna MTU alikua anaitwa Nyerere, Rushwa alikua hataki, alikua mpenda haki.. Alikua maskini jeuri mbele ya watu weupe kama malkia wa uingereza.

Nje ya Mada - Subirini Vita Ya itokee, nitawabeba.
 
Back
Top Bottom