Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmmh!Dakta jakaya mrisho kikwete
Big upMashujaa akina mama wote wanaolea watoto pekee yao.
[emoji1] [emoji1]Mimi baba yangu hawezi kunisahau
Enzi hizo nlimpiga gunia 70 za mahindi na 30 maharage hapa hata Hitler dingi anamuona mrembo tu!
I like itShujaa mama yangu amenizaa wala hakunitoa mimba
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji24] [emoji24]Jecha Salum Jecha,alichowafanyia Wazanzibar ni M/Mungu ndio anajua.
hata kina baba wanaomalizia mishahara yao bar ni mashujaa wa nguvu. Bila hao ajira zingekuwa ngumu, wameajiri bar manager, bar men, bar maids, wapishi, mawaiter na walinzi wa bar. Pia serikali inajipatia kodi na mmiliki wa bar anajipatia faida. Dawasco wanajipatia pesa na Tanesco pia, raha ya bia iwe ya baridiiiiiiWangari maathai.....mwanaharakati wa mazingira huko kenya...mama huyu alikua shujaa.