Watu ambao dunia haitawasahau

Watu ambao dunia haitawasahau

1:Albett Einstein na theory yake ya relativity theory
2:Isaack Newton
3:Nicola Tesla
4: Orville and Wilber
5:Ferdinand Verbiest and Karl Benz
 
Paulo makonda kwa kumfuta mwana mfalme viatu na kuukwa ukuu wa wilaya Leo ukuu wa mkoa nani duniani amepata ata umonita kwa kumfuta MTU viatu
 
Whitney Houston.


Hype-Hair-Whitney-Houston3.png
 
Kuna wanasiasa
Nelson Mandela
Jk Nyerere
John F Kennedy
Magreth Thatcher
Barrack Obama
Fidel Castro

Kuna Madikteta na Magaidi
Hitler
Mussolini
Osama
Mullah Omar
ccm
Gaddafi hakuwa dictator, nitashangaa kama utamuacha M7 kwenye list, Gaddafi amefanya mengi sana kwa Libya & Africa..
 
Huyo Lowassa sio tu hayuko level ya dunia na Africa lakini hata katika Tanzania tukiongelea watu walioifanyia makubwa nchi yetu yeye hayupo! Nasikitika uzi wako yeye ndio eti umeanza naye.
 
Africa tunapaswa kumkumbuka Muamar Gaddafi ambaye alitumia kila alichoweza ili kufanya Africa ijitegemee na iwe imara, na in fact hiyo ndio sababu mojawapo ya kuuwawa kwake. Aibu ni kwamba Africa tulikaa pembeni kuona shujaa wetu akidhalilishwa na kuangamizwa. Too bad
 
Back
Top Bottom