Watu ambao dunia haitawasahau

Watu ambao dunia haitawasahau

Kuna wanasiasa
Nelson Mandela
Jk Nyerere
John F Kennedy
Magreth Thatcher
Barrack Obama
Fidel Castro

Kuna Madikteta na Magaidi
Hitler
Mussolini
Osama
Mullah Omar
ccm
Na wewe kwanini umejiita Mussolini???
 
Mimi baba yangu hawezi kunisahau

Enzi hizo nlimpiga gunia 70 za mahindi na 30 maharage hapa hata Hitler dingi anamuona mrembo tu!
HahahA ulisharudi nyumban? Mbwa kala mbwa mwenzake
 
1220.jpg

#Pablo Emilio Escobar
Notorious Colombian drug Lord Spent $2,500 on Rubber Band to bundle up his stacks of cash..
enhanced-13341-1402602961-9.jpg

#Tupac Shakur & Notorious B.I.G.
THE GREATEST RAPPER WHO EVER LIVED.
After Shakur was cremated, members of the Outlawz mixed some of his ashes with marijuana and smoked it.

 
Binafisi naamini hapa duniani kila mtu anajambo alilowahi kulifanya na kupelekea jamii yake kubaki ikimkumbuka daima.

Jambo linaweza kuwa jema au baya,lakini bado atakumbukwa kwa hilo.binafsi kwa hapa tanzania ukitoa baba wa taifa anayefata kwa sasa ni Ngoyai LOWASA, ndugu huyu katuonesha kwa vitendo anavyoweza kujisimamia mwenyewe katika kila kitu.

Tuachane na hapa kwetu, je unajua kina hitller ,musolin,dagama,newton,faraday,erenest eisday,laberty ni baadhi ya mashujaa wa hii dunia?

Naomba muniongeze wengine ambao dunia inawatambua,na matukio yao.
Frolence Nightngale mama wa tiba duniani ambaye katika umri mdogo kabisa wa miaka 17 akidharauliwa mno alileta mapinduzi makubwa kwenye tasnia ya tiba duniani
 
Frolence Nightngale mama wa tiba duniani ambaye katika umri mdogo kabisa wa miaka 17 akidharauliwa mno alileta mapinduzi makubwa kwenye tasnia ya tiba duniani
Sio tiba ndugu huyu alihusika katika tasnia ya UUGUZI
 
Aiseee! nitabadili kwa ajili yako ili uwe unalia tu ndugu yangu

RUBIIIII...USITOE PLEASEEEE...MIE NAIPENDA TUU AVATAR YAKO...KILA NIKIINGIA JF NAENDA MOJA KWA MOJA KWENYE PROFILE YA USER RUBII....NIKIMALIZA KUIANGALIA NASALI KUMSHUKURU MUNGU KWA UUMBAJI KISHA NAENDELEA NA KAZI ZA SIKU.
 
MIE SITOMSAHAU 2PAC SHAKUR...ALICHOFANYA ALIIMBA NYIMBO NZURI SANA NA KUBURUDISHA ASILIMIA KUBWA WA WANADAMU DUNIANI. DJ NIPIGIE KIBAO CHA DEAR MAMA NA UKIMALIZA NIPIGIE KILE CHA HIT'EM UP.
 
Kuna wanasiasa
Nelson Mandela
Jk Nyerere
John F Kennedy
Magreth Thatcher
Barrack Obama
Fidel Castro-HUYU PIA ALIKUWA MSHKAJI WA TUPAC WAKO KUNDI MOJA LA THE OUTLAWZ

Kuna Madikteta na Magaidi
Hitler
Mussolini-HUYU PIA ALIKUWA MSHKAJI WA TUPAC WAKO KUNDI MOJA LA THE OUTLAWZ
Osama
Mullah Omar
ccm
 
RUBIIIII...USITOE PLEASEEEE...MIE NAIPENDA TUU AVATAR YAKO...KILA NIKIINGIA JF NAENDA MOJA KWA MOJA KWENYE PROFILE YA USER RUBII....NIKIMALIZA KUIANGALIA NASALI KUMSHUKURU MUNGU KWA UUMBAJI KISHA NAENDELEA NA KAZI ZA SIKU.


Ha ha haaa... Mungu akubariki
 
Ha ha haaa... Mungu akubariki
aisee!hiyo avatar yako siyo yule mwanamitindo bernice burgos kweli?ni mrembo sana yule binti.

kuna huyu msanii wa maigizo/filamu hapa Tanzania hatasahaulika kwakweli.eti kufanya mazoezi na kunywa maji mengi ndiyo yalimsaidia kuwa mweupe kama tulivyozoea kusema(ila in reality ni orange).
 
Back
Top Bottom