Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na wewe kwanini umejiita Mussolini???Kuna wanasiasa
Nelson Mandela
Jk Nyerere
John F Kennedy
Magreth Thatcher
Barrack Obama
Fidel Castro
Kuna Madikteta na Magaidi
Hitler
Mussolini
Osama
Mullah Omar
ccm
HahahA ulisharudi nyumban? Mbwa kala mbwa mwenzakeMimi baba yangu hawezi kunisahau
Enzi hizo nlimpiga gunia 70 za mahindi na 30 maharage hapa hata Hitler dingi anamuona mrembo tu!
HahahA ulisharudi nyumban? Mbwa kala mbwa mwenzake
Frolence Nightngale mama wa tiba duniani ambaye katika umri mdogo kabisa wa miaka 17 akidharauliwa mno alileta mapinduzi makubwa kwenye tasnia ya tiba dunianiBinafisi naamini hapa duniani kila mtu anajambo alilowahi kulifanya na kupelekea jamii yake kubaki ikimkumbuka daima.
Jambo linaweza kuwa jema au baya,lakini bado atakumbukwa kwa hilo.binafsi kwa hapa tanzania ukitoa baba wa taifa anayefata kwa sasa ni Ngoyai LOWASA, ndugu huyu katuonesha kwa vitendo anavyoweza kujisimamia mwenyewe katika kila kitu.
Tuachane na hapa kwetu, je unajua kina hitller ,musolin,dagama,newton,faraday,erenest eisday,laberty ni baadhi ya mashujaa wa hii dunia?
Naomba muniongeze wengine ambao dunia inawatambua,na matukio yao.
Sio tiba ndugu huyu alihusika katika tasnia ya UUGUZIFrolence Nightngale mama wa tiba duniani ambaye katika umri mdogo kabisa wa miaka 17 akidharauliwa mno alileta mapinduzi makubwa kwenye tasnia ya tiba duniani
Kuna mstari mwembamba sana kati ya tiba na uuguziSio tiba ndugu huyu alihusika katika tasnia ya UUGUZI
Aiseee! nitabadili kwa ajili yako ili uwe unalia tu ndugu yangu
Kuna wanasiasa
Nelson Mandela
Jk Nyerere
John F Kennedy
Magreth Thatcher
Barrack Obama
Fidel Castro-HUYU PIA ALIKUWA MSHKAJI WA TUPAC WAKO KUNDI MOJA LA THE OUTLAWZ
Kuna Madikteta na Magaidi
Hitler
Mussolini-HUYU PIA ALIKUWA MSHKAJI WA TUPAC WAKO KUNDI MOJA LA THE OUTLAWZ
Osama
Mullah Omar
ccm
RUBIIIII...USITOE PLEASEEEE...MIE NAIPENDA TUU AVATAR YAKO...KILA NIKIINGIA JF NAENDA MOJA KWA MOJA KWENYE PROFILE YA USER RUBII....NIKIMALIZA KUIANGALIA NASALI KUMSHUKURU MUNGU KWA UUMBAJI KISHA NAENDELEA NA KAZI ZA SIKU.
aisee!hiyo avatar yako siyo yule mwanamitindo bernice burgos kweli?ni mrembo sana yule binti.Ha ha haaa... Mungu akubariki