Watu ambao nataman kuonana nao.

Hahahahaaaaa.

Hapana, hata kesho nitalala kesho hivyo hivyo kwa hiyo ni sawa na wewe tu unayelala kuanzia chini ya saa sita
Mkuu usingz wa saa saba si wa siku mpya huo? mie nalala leo na kuamka kesho ila wewe unalala kesho na kuamka kesho
 
Mkuu usingz wa saa saba si wa siku mpya huo? mie nalala leo na kuamka kesho ila wewe unalala kesho na kuamka kesho
Hapana, nalala siku hiyo naamka siku hiyo pia.

Ukisema nalala kesho naamka kesho una maana nitaamka siku inayofuata ambayo ni kesho.

Hahahahaaaaa, kiswahili na maajabu yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…