Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Kama umewakosa tutakueleza hadi wanapoishi upate furaha mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jinsi utakavyopenda mwenyewe mkuu
Mkuu nalala sana tena nachelewa hadi kuamka mfano leo nimelala kuanzia saa saba nimeamka saa moja na dk 27Mkuu hulal kumbe?
Hahahahaaaa.Unataka kubisha nini sasa au unataka nimpeleke kwenye ule mji ambao unasifika kwa kufunga geti?
Ha ha ha shida unalala Kesho hapo ndio kwenye utataMkuu nalala sana tena nachelewa hadi kuamka mfano leo nimelala kuanzia saa saba nimeamka saa moja na dk 27
Ndio mkuu..Kuna jinsi yeyote ya kujua hilo?
Umenichekesha yna12. Usijali watajitokeza mamyAjitokeze mtu basi hata wa kuonana namimi..mweh!![emoji85]
Hahahahaaaaa.Ha ha ha shida unalala Kesho hapo ndio kwenye utata
Mkuu usingz wa saa saba si wa siku mpya huo? mie nalala leo na kuamka kesho ila wewe unalala kesho na kuamka keshoHahahahaaaaa.
Hapana, hata kesho nitalala kesho hivyo hivyo kwa hiyo ni sawa na wewe tu unayelala kuanzia chini ya saa sita
Sasa ungetoa taarifa maana geti halifungwi kule siku hiziHahahahaaaa.
Siku hizi nimepunguza kuhudhuria huko, nina takribani wiki na siku kadhaa sijatia jicho kule
Hapana, nalala siku hiyo naamka siku hiyo pia.Mkuu usingz wa saa saba si wa siku mpya huo? mie nalala leo na kuamka kesho ila wewe unalala kesho na kuamka kesho
Utaratibu wana ujua wajiandae tu na faini...Sasa ungetoa taarifa maana geti halifungwi kule siku hizi
Jinsi utakavyopenda mwenyewe mkuu
Mbona kwenye list mimi sipo?
Hahah!Utaratibu wana ujua wajiandae tu na faini...
Poa poa mkuuohkay.
ngoja n arenge then nawataarifu mkuu
Utuone wapi? Sisi tupo kaka yetuNomba nikuone wewe na ndugu yako
Nina rada hapa naona kinachoendelea tu hata nisipohudhuriaHahah!
ipo siku watavamiwa kule