Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imenichukua muda sana kugundua ID yako ya zamani
Hahah!!Imenichukua muda sana kugundua ID yako ya zamani
Kwa usalama wangu..Hahah!!
Kitambo tupo humu ndani mkuu sema muda mrefu niliutumia kama msomaji zaidi, ndio mana nimelipuka hivi karibuni baada ya kuanza kua mchangiaji zaidi
Ahsante kwa ushauri wako Dada yetu, nitaufanyia kaziMjue nimejikuta naangalia huu muda mliopost. Lol.
Muwe mnalala mkue jamaani. Hahaaaa.
Hahahahaaaaaaa
Hahaha hivi hunijui wewe au unataka kunijaza halafu mbona pm unanikwepaNomba nikuone wewe na ndugu yako
Jana umeme ulikatika dogo nilizma data lin sasa nakuonaHahaha hivi hunijui wewe au unataka kunijaza halafu mbona pm unanikwepa
Ni rahisi sana kujuaAiseee! ndio ndio boss...
Umejuaje mkuu?
Mkuu hulal kumbe?Ahsante kwa ushauri wako Dada yetu, nitaufanyia kazi
Unataka kubisha nini sasa au unataka nimpeleke kwenye ule mji ambao unasifika kwa kufunga geti?Hahahahaaaaaaa
Si kweli bana
Sasa kaka bonny mm na wewe si tunajuana jamani au sijakuelewaJana umeme ulikatika dogo nilizma data lin sasa nakuona
Ha ha ha ha ha kwel hujanielewaSasa kaka bonny mm na wewe si tunajuana jamani au sijakuelewa
Kuna jinsi yeyote ya kujua hilo?Ni rahisi sana kujua
Yaan nimeshindwa kukuelewa kabisa ukuje unielewesheHa ha ha ha ha kwel hujanielewa