Watu ambao Yesu ana bifu nao siku ya kiama

Watu ambao Yesu ana bifu nao siku ya kiama

Fbn

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
15,749
Reaction score
37,420
Hii ndio list ambayo ilimfanya yesu kuwekwa msalabani.

1.Dalali kwa jina Yuda.
2.Wasaliti kwa jina Yuda.
3.Hakimu.
4.Askari hapa mtajigawa wenyewe.
5.walio shabikia maovu Lucas Mwashambwa ChoiceVariable id moja .

6.Viongozi wa dini wasio kemea maovu.

Kwa bahati mbaya CCM wangekuwepo kipindi cha Yesu hata ule msalaba usingekuwepo na hisi ingelikuwa ya waliopotezwa na kuwasahau.
 
Chawa wa mitandaoni hawana akili, kazi yao ni kushangilia uovu na ku troll watu wanaosimamia ukweli kisa tu wanapewa buku saba saba.
 
Back
Top Bottom