Hii ndio list ambayo ilimfanya yesu kuwekwa msalabani.
1.Dalali kwa jina Yuda.
2.Wasaliti kwa jina Yuda.
3.Hakimu.
4.Askari hapa mtajigawa wenyewe.
5.walio shabikia maovu Lucas MwashambwaChoiceVariable id moja .
6.Viongozi wa dini wasio kemea maovu.
Kwa bahati mbaya CCM wangekuwepo kipindi cha Yesu hata ule msalaba usingekuwepo na hisi ingelikuwa ya waliopotezwa na kuwasahau.