Watu Billioni 8 Wahudhuria Mazishi ya Khamenei Huko Iran? Mabilioni ya Watu Yaenda Iran kwenye Mazishi

Brother Depo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2026
Posts
593
Reaction score
797
Unajua nimepitia kurasa za wachambuzi Wafuasi wa Iran wanakuambia watu million 20 wamehudhuria mazishi, nikawaza Hawa Wafuasi wa Iran akili wanaziweka wapi? Wanajua watu million 20 wanavyofanana kweli?

Lakini sababu najua huwa ni waongo basi nikasema ngoja nijiridhishe, nikaja kugundua kuwa kumbe ni watu billion 8🤣

Uzuri Hawa ndugu zetu ukiwaongopea chochote wanachopenda kusikia wanafuata kama manyumbu🤣🤣

Ritz
Adiosamigo
Khaibar
zitto junior
Echolima1
gTurn
100 others
kimsboy
Chizi Maarifa
dem boyz
HIMARS
gallow bird
Malaria 2
THE BIG SHOW
Khanji kapoor
6 Pack
Mwalimu wa tuisheni
mdogoee

Watu billion 8 walioenda Iran kwenye mazishi👇🤣
 
Hi
Hivi wanajua idadi ya vitu bilioni achilia mbali watu. Hawawezi kukusanyika watu milioni 10 at once kusiwe na stampede itakayouwa maelfu ya watu.
 
Hi

Hivi wanajua idadi ya vitu bilioni achilia mbali watu. Hawawezi kukusanyika watu milioni 10 at once kusiwe na stampede itakayouwa maelfu ya watu.
Utakesha kuwaelewesha lakini hutaambulia kitu, wanakuambia watu milion 20 wamesafiri kutoka nchi mbali mbali kwenda kumzika🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Farahan Mchambuzi na mfuasi wa Iran anasisitiza kabisa watu milion 20🤣🤣🤣🤣
Unajua hii Imani inanishangazaga sana, wanaongopewa kitu ambacho wanakiona kwa macho
 
We mwenyewe umeandika nini, hv unajua dunia ina watu wangu wangapi jumla?
 
Kama unajua population size ya dunia huwezi hata kujaribu kusema kwamba watu 8 billion wamehudhuria mazishi.
Tuna wendawazimu wengi sana.
Idadi ya watu wote Dunian ni watu bilion 8.3; halafu watu bilion 8 waende kwenye nchi 1! Lazima uwe mwendawazimu wa kiwango cha pekee
kufikiria kuwa ni jambo linalowezekana.
Hao punguani, kama kusema uwongo kunaridhisha nafsi zao, watangaze kuwa maziko ya Ayatollah yamehudhuriwa na watu wote Duniani, na mtume Mohamad alifufuka na kwendakuhudhuria maziko ya Ayatollah.; japo wenye akili wote, kwa kuangalia picha mbalimbali, wanajua idadi ya wahudhuriaji haikuzidi milioni 2.
 
Mkuu, don't expose your weakness!!
 
Hao watu billion 8 ni uongo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…