mchuzi juu
Member
- May 14, 2026
- 57
- 90
huu nao ni uzi uchwara
Iran ina watu million 100 mbona hao million 20 ni wachache sana. Kumbuka mazishi yamefanyika miji yote mikubwa. Au mnafikiri Iran ni ndogo kama Israel ilivyo size ya kariakoo?Unajua nimepitia kurasa za wachambuzi Wafuasi wa Iran wanakuambia watu million 20 wamehudhuria mazishi, nikawaza Hawa Wafuasi wa Iran akili wanaziweka wapi? Wanajua watu million 20 wanavyofanana kweli?
Mwendawazimu ni nyie kujitungia tatizo na kulijadili. Wapi na lini Iran imetangaza watu billion 8 wamehudhuria msiba? Dunia nzima inakaribia hiyo number so realistically haiwezekani wote kuwepo iran na sijui mmetoa wapi hizi propaganda.Tuna wendawazimu wengi sana.
Idadi ya watu wote Dunian ni watu bilion 8.3; halafu watu bilion 8 waende kwenye nchi 1! Lazima uwe mwendawazimu wa kiwango cha pekee
Sio kweli, Ayatollah khomeini tu ilihudhuhuriwa na watu million 10.2 na hiyo ni miaka ya 80 huko na hii ni according to guiness world record.japo wenye akili wote, kwa kuangalia picha mbalimbali, wanajua idadi ya wahudhuriaji haikuzidi milioni 2.
Ilitokea kwa Ayatollah khomeini walijitokeza watu 10.2 million. So hiyo number yako haitokua kitu kipya IranHi
Hivi wanajua idadi ya vitu bilioni achilia mbali watu. Hawawezi kukusanyika watu milioni 10 at once kusiwe na stampede itakayouwa maelfu ya watu.
Kwaiyo wataka kusema dunia yote ipo iran mpka wew muhandishi??Unajua nimepitia kurasa za wachambuzi Wafuasi wa Iran wanakuambia watu million 20 wamehudhuria mazishi, nikawaza Hawa Wafuasi wa Iran akili wanaziweka wapi? Wanajua watu million 20 wanavyofanana kweli?
Lakini sababu najua huwa ni waongo basi nikasema ngoja nijiridhishe, nikaja kugundua kuwa kumbe ni watu billion 8🤣
Uzuri Hawa ndugu zetu ukiwaongopea chochote wanachopenda kusikia wanafuata kama manyumbu🤣🤣
Ritz
Adiosamigo
Khaibar
zitto junior
Echolima1
gTurn
100 others
kimsboy
Chizi Maarifa
dem boyz
HIMARS
gallow bird
Malaria 2
THE BIG SHOW
Khanji kapoor
6 Pack
Mwalimu wa tuisheni
mdogoee
Watu billion 8 walioenda Iran kwenye mazishi👇🤣
View attachment 3623546
The West spent billions on propaganda to deny Imam Khamenei’s popularity. But the massive crowds gathering to bid farewell have exposed those lies to the entire world."
Huoni jamaa kama anafanya dhihaka hujaona hata viemoj alivyotumia, anaakisi kwamba watu milioni 20 waliomzika Khamenei ni uongo.Ndio bilioni 8?
Sio kweli, Ayatollah khomeini tu ilihudhuhuriwa na watu million 10.2 na hiyo ni miaka ya 80 huko na hii ni according to guiness world record.
Largest percentage of population to attend a funeral
www.guinnessworldrecords.com
Ndio sembuse 2026? Kumbuka Iran ina watu zaidi ya 100m so hata 5% pekee ikihudhuria hiyo tayari ni zaidi ya hiyo million 2 uliyoandika.
Punguzeni chuki
Si umesema mwenyewe eti million 2 sasa sahivi inakuuma nini kama wamehudhuria wengi zaidi?Nipunguze chuki, kwani nina chuki gani? Hivi huyo aliyekwishakufa, maziko yake yakihudhuriwa na watu milioni 100 au milioni 1 au laki 1, inabadilisha kitu gani? Ingekuwa maziko yakihudhuriwa na watu wengi sana, anaamka, hapo tungekuwa na sababu ya kuweka idadi ya wahudhuriaji ni jambo la muhimu.
Hahahaah imebidi nicheke tu, nyie watu mbona mpo out of touch na uhalisia? Kwahiyo hao watu million 20 wamelazimishwa na serikali ambayo mnadai ilisambaratishwa? Sasa wamewatishia na nini ilihali silaha zote na makamanda wote walishauwawa??ni pamoja na serikali yake ya kidikteta kuwalazimisha watu wahudhurie ili kuhadaa kuwa alikuwa anapendwa sana
Punguzeni taharuki, kwenye msiba kuna wawakilishi wa nchi 100 yaani marais, majenerali, makamu wa rais, mawaziri wakuu, mabalozi n.k sasa kwa akili ya kawaida tu je US na Israel zingeweza risk kuua viongozi wa nchi 1 eti kisa kumpata Mojtaba ambaye hata akifa leo bado Ayatollah mwingine anateuliwa??Mtoto wake anachechemea huku akiwa amejawa na hofu ya kuuawa, kiasi cha kushindwa hata kuhudhuria maziko ya baba yake mzazi.
Wapi imeandikwa watu billion 8? Yaani mnajitungia vitu ili mpate cha kukosoa. Mbona taarifa rasmi zinasema ni 12 mpaka 20 million sasa hayo ya billion 8 kasema nani?? Punguzeni propagandaNdio bilioni 8?