Hii idadi ni sawa na ile ya msiba wa Magufuli pale uwanja wa taifa.Unajua nimepitia kurasa za wachambuzi Wafuasi wa Iran wanakuambia watu million 20 wamehudhuria mazishi, nikawaza Hawa Wafuasi wa Iran akili wanaziweka wapi? Wanajua watu million 20 wanavyofanana kweli?
Lakini sababu najua huwa ni waongo basi nikasema ngoja nijiridhishe, nikaja kugundua kuwa kumbe ni watu billion 8🤣
Uzuri Hawa ndugu zetu ukiwaongopea chochote wanachopenda kusikia wanafuata kama manyumbu🤣🤣
Ritz
Adiosamigo
Khaibar
zitto junior
Echolima1
gTurn
100 others
kimsboy
Chizi Maarifa
dem boyz
HIMARS
gallow bird
Malaria 2
THE BIG SHOW
Khanji kapoor
6 Pack
Mwalimu wa tuisheni
mdogoee
Watu billion 8 walioenda Iran kwenye mazishi👇🤣
View attachment 3623546
Wapi imeandikwa watu billion 8? Yaani mnajitungia vitu ili mpate cha kukosoa. Mbona taarifa rasmi zinasema ni 12 mpaka 20 million sasa hayo ya billion 8 kasema nani?? Punguzeni propaganda
Na Kwann nchi yenye watu 100m wanashindwa kuifuta Israel yenye size ya Kariakoo kwenye uso wa dunia kama mnavyojidanganya huko msikitini kwenu?Iran ina watu million 100 mbona hao million 20 ni wachache sana. Kumbuka mazishi yamefanyika miji yote mikubwa. Au mnafikiri Iran ni ndogo kama Israel ilivyo size ya kariakoo?
Inawezekana ndio, mbona nimeweka link hapo ya Guiness world record kuwa msiba wa Ayatollah Ruhollah khomeini ulihudhuriwa na watu 10.2 milion na ulikua miaka ya 80 kipindi Iran ina watu wachache kuliko sasa.Mkuu hujaona question mark? Na heading ya muanzisha thread? By the way hata hao 12-20m wanakuwaje sehemu moja? Unajua maana ya watu 10M?
Lini Iran ilisema inataka kuifuta Israel kwenye uso wa dunia? Kuna video, picha au tamko lolote unaweza hapa kuthibitisha madai yako. Huwa mnarudia hii kauli ila sijawahi ona mkiweka ushahidi.Na Kwann nchi yenye watu 100m wanashindwa kuifuta Israel yenye size ya Kariakoo kwenye uso wa dunia kama mnavyojidanganya huko msikitini kwenu?
Point of correction, mimi ni mkristo ila sielewi kivipi kupinga uonevu wa Iran inakufanya kuwa muislam? Nyerere na Mkapa walikua pro-palestine ila hawakuwa waislam same to Mandela na Lissu. Tuache udini kwenye kila kitu.mnavyojidanganya huko msikitini kwenu?
Watu bil 8 😁😁😁😁 mleta uzi, haraka sana jf wampatie blue tiki kama adriz de mbusiiUnajua nimepitia kurasa za wachambuzi Wafuasi wa Iran wanakuambia watu million 20 wamehudhuria mazishi, nikawaza Hawa Wafuasi wa Iran akili wanaziweka wapi? Wanajua watu million 20 wanavyofanana kweli?
Lakini sababu najua huwa ni waongo basi nikasema ngoja nijiridhishe, nikaja kugundua kuwa kumbe ni watu billion 8🤣
Uzuri Hawa ndugu zetu ukiwaongopea chochote wanachopenda kusikia wanafuata kama manyumbu🤣🤣
Ritz
Adiosamigo
Khaibar
zitto junior
Echolima1
gTurn
100 others
kimsboy
Chizi Maarifa
dem boyz
HIMARS
gallow bird
Malaria 2
THE BIG SHOW
Khanji kapoor
6 Pack
Mwalimu wa tuisheni
mdogoee
Watu billion 8 walioenda Iran kwenye mazishi👇🤣
View attachment 3623546
umeutoa wapi ujinga huo walio hudhuria ni 30 MillionUnajua nimepitia kurasa za wachambuzi Wafuasi wa Iran wanakuambia watu million 20 wamehudhuria mazishi, nikawaza Hawa Wafuasi wa Iran akili wanaziweka wapi? Wanajua watu million 20 wanavyofanana kweli?
Lakini sababu najua huwa ni waongo basi nikasema ngoja nijiridhishe, nikaja kugundua kuwa kumbe ni watu billion 8🤣
Uzuri Hawa ndugu zetu ukiwaongopea chochote wanachopenda kusikia wanafuata kama manyumbu🤣🤣
Ritz
Adiosamigo
Khaibar
zitto junior
Echolima1
gTurn
100 others
kimsboy
Chizi Maarifa
dem boyz
HIMARS
gallow bird
Malaria 2
THE BIG SHOW
Khanji kapoor
6 Pack
Mwalimu wa tuisheni
mdogoee
Watu billion 8 walioenda Iran kwenye mazishi👇🤣
View attachment 3623546
Watu million 30 si kweli ni wachache sana, ni watu billion 8🤣🤣🤣umeutoa wapi ujinga huo walio hudhuria ni 30 Million
View: https://youtube.com/shorts/kNxaKwNiUrg?si=anpS5Oq1fV2😵pP
Huwa mnafeli mitihani sababu ya ujinga wenu, hamjui kusoma na kuelewaIvi unajuwa Dunia inawatu wangapi, ama unajumlisha na marehemu!.
Wengi mnakurupuka TU, hamjui hata kusoma dhihaka inavyokua. Wewe ukisoma hapo nilichoandika ndio umeelewa hivyo?Watu bil 8 😁😁😁😁 mleta uzi, haraka sana jf wampatie blue tiki kama adriz de mbusii
Shida ya Iran ni kutumia machawa wao kueneza propaganda...Utakesha kuwaelewesha lakini hutaambulia kitu, wanakuambia watu milion 20 wamesafiri kutoka nchi mbali mbali kwenda kumzika🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Farahan Mchambuzi na mfuasi wa Iran anasisitiza kabisa watu milion 20🤣🤣🤣🤣
Unajua hii Imani inanishangazaga sana, wanaongopewa kitu ambacho wanakiona kwa macho
View attachment 3623547
HatujuiWengi mnakurupuka TU, hamjui hata kusoma dhihaka inavyokua. Wewe ukisoma hapo nilichoandika ndio umeelewa hivyo?
Lazima ufahamu Million 30 sio kwa siku moja walikuwepo tatizo lako ni mjinga na unadhani Ayatollah alikuwa ni kiongozi wa nchi tu hukujuwa alikuwa ana nafasi kubwa sana kwenye uongozi wa dini haswa kwa mashia.umeutoa wapi ujinga huo walio hudhuria ni 30 Million
View: https://youtube.com/shorts/kNxaKwNiUrg?si=anpS5Oq1fV2😵pP
Akiacha kuvaa kobaz atamuelewa, tofauti na hapo hata yeye hakuelewi wala mwenyewe hajielewi.Umemuelewa lakini mkuu?