Watu elfu 95 wanakadiriwa kuishi na VVU Geita

Ni hatari sana mkuu ,ngwengwe sehemu kama hizo inapukutisha sana maana utakuta demu mmoja watu wote wanaruka naye Dry(Drive Ubalozi), Kisiwa ,Chama.
 
Umenikumbusha kuna dada mmoja alikua anachapwa na mtu maarufu hapa alikua na ngwengwe aisee akaenda zake Mozambique huko akasambaza baadae nikashangaa kumuona Cape town alikua mzuri yule dada hatari pale penyewe vijana walimrukia sana hakukaa muda ikabidi tumchangie kumrudisha home tulipompigia yule Tajiri alituma nauli faster sijui dada aliendeleaje tena maana alirudi akiwa mgonjwa sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…