Kufa mara ya pili ni hukumu ya mwisho ambapo mtu atatupwa katika ziwa la moto baada ya hukumu ya Mungu. Ni adhabu ya milele kwa wale wanaokataa kutubu na kuokoka.Ulevi kumbe umo cc min -me
Sasa mama mchunga vipi kuhusu kufa mara ya pili Huwa selewagi mm kijukuu cha baba paroko cc secretarybird
Kwa nini walie na kusaga meno wakati walichagua kuwa walivyo? Wewe umechagua fungu lako, waache wakae na mafungu yao kama ndilo chaguo laoSiku inakuja, siku mbaya ya kutisha, isiyofanana na siku nyingine yoyote. Siku ambayo ukweli wote utawekwa wazi, na kila mtu atasimama mbele ya kiti cha hukumu. Wachache watashangilia lakini wengi watalia kwa uchungu usioelezeka.
Setfree free asikupige kamba bhana!Ulevi kumbe umo cc min -me
Sasa mama mchunga vipi kuhusu kufa mara ya pili Huwa selewagi mm kijukuu cha baba paroko cc secretarybird
napenda sana kusikia neno la MUNGU na mahubiri ya watumishi wa MUNGU.Neno zuri sana kwa wanyenyekevu wa mioyo!
Wezi wa kuraSiku inakuja, siku mbaya ya kutisha, isiyofanana na siku nyingine yoyote. Siku ambayo ukweli wote utawekwa wazi, na kila mtu atasimama mbele ya kiti cha hukumu. Wachache watashangilia lakini wengi watalia kwa uchungu usioelezeka.
Watu hawa watalia na kusaga meno:
Wanaotenda maovu kwa siri wakidhani hakuna aonae
Wanaokataa kusamehe wengine
Wanaofurahia ulevi, uzinzi, uongo
Wasiotaka kutubu uovu wao na kuuacha
Wanaowachukia na kuwadhihaki watu wa Mungu
Wanaopenda pesa na mali kuliko kumpenda Mungu
Wanaoidharau Biblia na kupinga Neno la Mungu
Wanaodhani kifo ndio mwisho wa yote
Wanaokataa kuamini kuwa Yesu ni Mungu
Hata wanaosoma bandiko hili na kusema ni "ujinga"
Orodha ni ndefu, nisaidieni kuijazia...
Mathayo 13:47
"Tena ufalme wa mbinguni umefanana na juya, lililotupwa baharini, likakusanya samaki wa kila namna; hata lilipojaa, walilivuta pwani; wakaketi, wakakusanya walio wema vyomboni, bali walio wabaya wakawatupa. Ndivyo itakavyokuwa katika mwisho wa dunia; malaika watatokea, watawatenga waovu mbali na wenye haki, na kuwatupa katika tanuri ya moto; ndiko kutakuwako kilio na kusaga meno."
Kwakuwa neema bado ipo, tusichoke kuwaambia hivi: ""Ingieni kwa kupitia mlango ulio mwembamba; maana mlango ni mpana, na njia ni pana iendayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa mlango huo. Bali mlango ni mwembamba, na njia imesonga iendayo uzimani, nao waionao ni wachache."Wezi wa kura
Wauaji na watekaji
Wafiraji
Orodh ni ndefu kwa kweli mtumishi.
Na mengi hufanywa/huletwa na wengi.🙂Duniani kuna mengi
Hongera sana, ndugu yangu Emily magnus kwa kuchagua fungu jema. Kuhubiri kila siku naweza. Hata hivyo agizo la Yesu ni kwamba tunatakiwa kuhubiri ulimwenguni pote. Nikihubiri hapa hapa JF tu, ni vigumu kuufikia ulimwengu wote. Hivyo nahitajika kwenda maeneo mengine ili wengine nao wasikie habari njema.napenda sana kusikia neno la MUNGU na mahubiri ya watumishi wa MUNGU.
Ombi: Setfree Mchungaji wa kondoo wa bwana, naomba uwe unatuhubiria kila siku asubuhi.