Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Daa watu wengine sijui wameumbwa vp jamani leo hii kiukweli nimejikuta nimechukia sana aisee tupo kwenye ibada wakati mchungaji anatoa mahubiri kuna watu huku nahisi hawa ni gen z back bencha wanaanza kuombaba namba na kuanza kutongoza eti usiku mida ya saa mbili tukutane element daaa nimechukia nusu niwalambe makofi wote ila imani imanijia tu nikasema ngoja tukitoka nje nitawachana ila wenyewe wakajishitukia muda wa kutoka wakatoka haraka haraka kunihofia mimi ila uzuri niliwapiga picha sura zao nazifahamu
Watu hawana hofu kabisa aisee hata kwenye nyumba za ibada ila hii hauwezi kuona kwa wale ndugu zetu upande wa pili waislamu kwenye ibada zao wanatulia wanasilikiliza mawaidha kwanza hawachangamani wanawake kwao na wanaume kwao kuepusha haya haya na waislamu wamenyooka sana jumapili ya Leo nimechukia sana daaah 😬😬😬