Mwanasayansi Kalivubha
JF-Expert Member
- Feb 4, 2024
- 344
- 926
Hii namba ya simu ni ya nini?Ili ujue kama watu hawana muda na shida zako subiri siku wanakuomba uwasaidie nawe eleza shida zako, hata kama zitakuwa ni kubwa kuliko zao bado watakulaumu tu π
TUMIA KANUNI HII ILI USIWE MTUMWA HUKU MAMBO YAKO YAKIHARIBIKA
1. Jali afya yako kwa 100%
2. Hakikisha mambo yako yako sawa ndio anza na wao.
3. Usikubali kuacha ratiba zako haraka la sivyo iwe dharura kweli
4. Wasaidie ila hakikisha nawe umeshajisaidia
5. Kama lipo juu ya uwezo wako waambie huwezi na usijali watasemaje kwa jibu lako hilo.
Fikia ndoto zako.
0652 134707
atakuwa anahitaji mwamalaHii namba ya simu ni ya nini?
TeuziHii namba ya simu ni ya nini?
anataka asaidia watu kufikia ndoto zaoHii namba ya simu ni ya nini?
π€£π€£π€£π€£π€£Hii namba ya simu ni ya nini?
Classmate wangu Saul Kalivubha dah! Long time ma braza. Nakuja PM!Ili ujue kama watu hawana muda na shida zako subiri siku wanakuomba uwasaidie nawe eleza shida zako, hata kama zitakuwa ni kubwa kuliko zao bado watakulaumu tu π
TUMIA KANUNI HII ILI USIWE MTUMWA HUKU MAMBO YAKO YAKIHARIBIKA
1. Jali afya yako kwa 100%
2. Hakikisha mambo yako yako sawa ndio anza na wao.
3. Usikubali kuacha ratiba zako haraka la sivyo iwe dharura kweli
4. Wasaidie ila hakikisha nawe umeshajisaidia
5. Kama lipo juu ya uwezo wako waambie huwezi na usijali watasemaje kwa jibu lako hilo.
Fikia ndoto zako.
0652 134707
π π€£ πatakuwa anahitaji mwamala
Karibu sana nduguClassmate wangu Saul Kalivubha dah! Long time ma braza. Nakuja PM!