Walianza na historia, wlipo kumbushwa kuwa walisha wahi pigwa 9 wakaruka kuwa wakati huo waliku ni malki, leo wanakuja kivingineNdio kitu umeona cha kujifarijia hiki?
Yanga wanafurahi kumfunga simba sababu ya midomo yenu! Mnachongaga sana
Huo urohouroho mtakabwa na nyama mfe.Kama una hamu sana ya supu,nunua kilo mbili za nyama uwaambie nyumbani waipike iive vizuri.Vua na shati ule hadi ukohoe kwa shibe.Ooh! nisamehe baba lakini mzee fanya na wewe uwahi ukapate supu na finyango tano zilizo nona.
Amka toka usingiziniHizi sherehe za yanga zimenifanya nifikiri upya jinsi mpinzani anavyomuwazia mnyama.
Kitendo cha kumfunga goli 5 na furaha waliyonayo ni kama wamemfunga Man city au Real Madrid.
Ninajiuliza kwenye akili yao waliionaje Simba!Huenda hata mashabiki wa Simba hawajawahi kuiona timu yao kwa ukubwa wanaouona wapinzani.Na huenda ndiyo sababu wapinzani kucheza na Simba huwa ni kama fainali za mashindano yote makubwa kwa mwaka husika.
Waliingia fainali ya CAF hawakuwa na furaha kubwa kama kulifunga dude kuuubwa machoni pao.Ni kama wamemuua Goliath.
Hongera lakini asante kwa kutupa heshima na ukubwa usiomithilika
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Lakini baba shughuli ni watu na watu wenyewe ni mimi na wewe, fanya uwahi mzeeHuo urohouroho mtakabwa na nyama mfe.Kama una hamu sana ya supu,nunua kilo mbili za nyama uwaambie nyumbani waipike iive vizuri.Vua na shati ule hadi ukohoe kwa shibe.
Ushauri mzuriTimu kubwa haipanic baada ya kupigwa nyingi, Arsenal alikuwa nane na man United hawakupanic,Madrid alikula tano na Barca Camp Nou na kampa sita moja Bernabeu na hakupanic, Man Utd akapigwa sita moja Old Trafford hawakupanic kama mnavyo panic nyie.
Mara mumtimue kocha,mara viongozi hawafai mara Mo,Wachezaji nao mechi ya Namungo unawaona wamepanic,kwa kifupi bado hamjatulia so nyie bado ni timu ndogo, tumu kubwa hazipanic, kwani zinaamini katika mipango yao.
Kumfunga mtani tano kuna raha yake,Liverpool alivyo mpa saba Man Utd kesho yake zikatoka jezi za saba bila zikionyesha na wafungaji.Nyie wenyewe mlivyo tupiga tano kelele mji mzima.
Timu kubwa huwaga hazipanic, nyie endeleeni kupaic pamoja na wachezaji wenu muone mtakavyo potea.
Kwani kwa umri wako,unaelewa nini ukiona neno "Kama"?Una hoja nzuri ila umepuyanga kulinganisha na Real Madrid na Man City kwamba eeeti wanaona kama wamefunga hao. Hapo umepunyanga
Kwa hiyo nikapange foleni kufukuzia mchuzi wa ng'ombe na utumbo?Aisee!Aibu gani hii kwa mimi mwenye asili ya ufugaji?Lakini baba shughuli ni watu na watu wenyewe ni mimi na wewe, fanya uwahi mzee
Kama ni mfanano Sasa wewe unafannanisha visivyofanana kwenye umri mkubwa namna hiiKwani kwa umri wako,unaelewa nini ukiona neno "Kama"?
Ukijidunisha ndiyo mwanzo wa kumchukia Arsene Wenger na Rais wa FIFA.Kama ni mfanano Sasa wewe unafannanisha visivyofanana kwenye umri mkubwa namna hii
Kula 5 mkuu akijibu nistueSasa huoni aibu mwenyewe[emoji1787][emoji1787]
Timu ndogo imeifunga timu ya robofainalist michuano yote, timu mdogo inaongoza ligi dhidi ya litimu likubwa CAF ambalo mpaka sasa halijashida mechi yoyote huko Cafu
kumfunga mtani goli 5 ni furaha kubwaHizi sherehe za yanga zimenifanya nifikiri upya jinsi mpinzani anavyomuwazia mnyama.
Kitendo cha kumfunga goli 5 na furaha waliyonayo ni kama wamemfunga Man city au Real Madrid.
Ninajiuliza kwenye akili yao waliionaje Simba!Huenda hata mashabiki wa Simba hawajawahi kuiona timu yao kwa ukubwa wanaouona wapinzani.
Na huenda ndiyo sababu wapinzani kucheza na Simba huwa ni kama fainali za mashindano yote makubwa kwa mwaka husika.
Waliingia fainali ya CAF hawakuwa na furaha kubwa kama kulifunga dude kuuubwa machoni pao. Ni kama wamemuua Goliath.
Hongera lakini asante kwa kutupa heshima na ukubwa usiomithilika.
Hayo ni mawazo tu ila level hizo bado yaani Simba ni level ya Namungo na Yanga ni chini ya Ihefu level yakeUkijidunisha ndiyo mwanzo wa kumchukia Arsene Wenger na Rais wa FIFA.
Jipe "limoyo"!Hayo ni mawazo tu ila level hizo bado yaani Simba ni level ya Namungo na Yanga ni chini ya Ihefu level yake
Sasa wewe uliitaka Ngo'mbe 5 wote hao tuwanyie nini. Kama ulikosa nauli ya kupata supu pamoja na ndugu zako kaa kimya kuliko kuongea upotoshaji.Huu ndiyo ukweli.Atakayeukataa muulize,Simba ameifunga Yanga utopolo magoli 3,4 na hata 5 mara ngapi na hakukuwa na sherehe?
Ndio kitu umeona cha kujifarijia hiki?
Yanga wanafurahi kumfunga simba sababu ya midomo yenu! Mnachongaga sana
Kwa hiyo mna kombe la ng'ombe?Sasa wewe uliitaka Ngo'mbe 5 wote hao tuwanyie nini. Kama ulikosa nauli ya kupata supu pamoja na ndugu zako kaa kimya kuliko kuongea upotoshaji.
Mmeshasahu kwenye uchaguzi ajenda kuu ilikuwa ni kumfunga Yanga.
Safi sana maana hii ndiyo njia (kujifariji) pekee ya kuondokana na Sonoma hakuna njia nyingine.Hizi sherehe za yanga zimenifanya nifikiri upya jinsi mpinzani anavyomuwazia mnyama.
Kitendo cha kumfunga goli 5 na furaha waliyonayo ni kama wamemfunga Man city au Real Madrid.
Ninajiuliza kwenye akili yao waliionaje Simba!Huenda hata mashabiki wa Simba hawajawahi kuiona timu yao kwa ukubwa wanaouona wapinzani.
Na huenda ndiyo sababu wapinzani kucheza na Simba huwa ni kama fainali za mashindano yote makubwa kwa mwaka husika.
Waliingia fainali ya CAF hawakuwa na furaha kubwa kama kulifunga dude kuuubwa machoni pao. Ni kama wamemuua Goliath.
Hongera lakini asante kwa kutupa heshima na ukubwa usiomithilika.
Yanga ilipokuwa ikizichabanga timu ilizokuwa inakutana nazo mtani aliiambia yanga inakutana na timu mbovu ndiyo hapo sasa simba kaliamusha dudeHizi sherehe za yanga zimenifanya nifikiri upya jinsi mpinzani anavyomuwazia mnyama.