Watu hukiri kwa vitendo: Kumfunga Simba ni kufunga dude kuubwa sana

Ndio kitu umeona cha kujifarijia hiki?

Yanga wanafurahi kumfunga simba sababu ya midomo yenu! Mnachongaga sana
Walianza na historia, wlipo kumbushwa kuwa walisha wahi pigwa 9 wakaruka kuwa wakati huo waliku ni malki, leo wanakuja kivingine
 
Ooh! nisamehe baba lakini mzee fanya na wewe uwahi ukapate supu na finyango tano zilizo nona.
Huo urohouroho mtakabwa na nyama mfe.Kama una hamu sana ya supu,nunua kilo mbili za nyama uwaambie nyumbani waipike iive vizuri.Vua na shati ule hadi ukohoe kwa shibe.
 
Hizi sherehe za yanga zimenifanya nifikiri upya jinsi mpinzani anavyomuwazia mnyama.
Kitendo cha kumfunga goli 5 na furaha waliyonayo ni kama wamemfunga Man city au Real Madrid.
Ninajiuliza kwenye akili yao waliionaje Simba!Huenda hata mashabiki wa Simba hawajawahi kuiona timu yao kwa ukubwa wanaouona wapinzani.Na huenda ndiyo sababu wapinzani kucheza na Simba huwa ni kama fainali za mashindano yote makubwa kwa mwaka husika.

Waliingia fainali ya CAF hawakuwa na furaha kubwa kama kulifunga dude kuuubwa machoni pao.Ni kama wamemuua Goliath.

Hongera lakini asante kwa kutupa heshima na ukubwa usiomithilika

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Amka toka usingizini
 
Una hoja nzuri ila umepuyanga kulinganisha na Real Madrid na Man City kwamba eeeti wanaona kama wamefunga hao. Hapo umepunyanga
 
Huo urohouroho mtakabwa na nyama mfe.Kama una hamu sana ya supu,nunua kilo mbili za nyama uwaambie nyumbani waipike iive vizuri.Vua na shati ule hadi ukohoe kwa shibe.
Lakini baba shughuli ni watu na watu wenyewe ni mimi na wewe, fanya uwahi mzee
 
Timu kubwa haipanic baada ya kupigwa nyingi, Arsenal alikuwa nane na man United hawakupanic,Madrid alikula tano na Barca Camp Nou na kampa sita moja Bernabeu na hakupanic, Man Utd akapigwa sita moja Old Trafford hawakupanic kama mnavyo panic nyie.

Mara mumtimue kocha,mara viongozi hawafai mara Mo,Wachezaji nao mechi ya Namungo unawaona wamepanic,kwa kifupi bado hamjatulia so nyie bado ni timu ndogo, tumu kubwa hazipanic, kwani zinaamini katika mipango yao.

Kumfunga mtani tano kuna raha yake,Liverpool alivyo mpa saba Man Utd kesho yake zikatoka jezi za saba bila zikionyesha na wafungaji.Nyie wenyewe mlivyo tupiga tano kelele mji mzima.

Timu kubwa huwaga hazipanic, nyie endeleeni kupaic pamoja na wachezaji wenu muone mtakavyo potea.
Ushauri mzuri
 
Hizi sherehe za yanga zimenifanya nifikiri upya jinsi mpinzani anavyomuwazia mnyama.

Kitendo cha kumfunga goli 5 na furaha waliyonayo ni kama wamemfunga Man city au Real Madrid.

Ninajiuliza kwenye akili yao waliionaje Simba!Huenda hata mashabiki wa Simba hawajawahi kuiona timu yao kwa ukubwa wanaouona wapinzani.

Na huenda ndiyo sababu wapinzani kucheza na Simba huwa ni kama fainali za mashindano yote makubwa kwa mwaka husika.

Waliingia fainali ya CAF hawakuwa na furaha kubwa kama kulifunga dude kuuubwa machoni pao. Ni kama wamemuua Goliath.

Hongera lakini asante kwa kutupa heshima na ukubwa usiomithilika.
kumfunga mtani goli 5 ni furaha kubwa
 
Huu ndiyo ukweli.Atakayeukataa muulize,Simba ameifunga Yanga utopolo magoli 3,4 na hata 5 mara ngapi na hakukuwa na sherehe?
Sasa wewe uliitaka Ngo'mbe 5 wote hao tuwanyie nini. Kama ulikosa nauli ya kupata supu pamoja na ndugu zako kaa kimya kuliko kuongea upotoshaji.
Mmeshasahu kwenye uchaguzi ajenda kuu ilikuwa ni kumfunga Yanga.
 
Attachments

  • 20231112_081254.jpg
    20231112_081254.jpg
    137.6 KB · Views: 1
Sasa wewe uliitaka Ngo'mbe 5 wote hao tuwanyie nini. Kama ulikosa nauli ya kupata supu pamoja na ndugu zako kaa kimya kuliko kuongea upotoshaji.
Mmeshasahu kwenye uchaguzi ajenda kuu ilikuwa ni kumfunga Yanga.
Kwa hiyo mna kombe la ng'ombe?
 
Hizi sherehe za yanga zimenifanya nifikiri upya jinsi mpinzani anavyomuwazia mnyama.

Kitendo cha kumfunga goli 5 na furaha waliyonayo ni kama wamemfunga Man city au Real Madrid.

Ninajiuliza kwenye akili yao waliionaje Simba!Huenda hata mashabiki wa Simba hawajawahi kuiona timu yao kwa ukubwa wanaouona wapinzani.

Na huenda ndiyo sababu wapinzani kucheza na Simba huwa ni kama fainali za mashindano yote makubwa kwa mwaka husika.

Waliingia fainali ya CAF hawakuwa na furaha kubwa kama kulifunga dude kuuubwa machoni pao. Ni kama wamemuua Goliath.

Hongera lakini asante kwa kutupa heshima na ukubwa usiomithilika.
Safi sana maana hii ndiyo njia (kujifariji) pekee ya kuondokana na Sonoma hakuna njia nyingine.
 
Hizi sherehe za yanga zimenifanya nifikiri upya jinsi mpinzani anavyomuwazia mnyama.

Kitendo cha kumfunga goli 5 na furaha waliyonayo ni kama wamemfunga Man city au Real Madrid.

Ninajiuliza kwenye akili yao waliionaje Simba!Huenda hata mashabiki wa Simba hawajawahi kuiona timu yao kwa ukubwa wanaouona wapinzani.

Na huenda ndiyo sababu wapinzani kucheza na Simba huwa ni kama fainali za mashindano yote makubwa kwa mwaka husika.

Waliingia fainali ya CAF hawakuwa na furaha kubwa kama kulifunga dude kuuubwa machoni pao. Ni kama wamemuua Goliath.

Hongera lakini asante kwa kutupa heshima na ukubwa usiomithilika.
Yanga ilipokuwa ikizichabanga timu ilizokuwa inakutana nazo mtani aliiambia yanga inakutana na timu mbovu ndiyo hapo sasa simba kaliamusha dude
 
Back
Top Bottom