permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,484
- 15,297
Kama hukuelewa alienda kufanya nini Kariakoo basi hicho kichwa kakikusaidii zaidi ya kubeba meno ya kula.Juzi nimeona clip ya Lissu akiwa Kariakoo akinunua maparachichi pilipili hoho na nyanyachungu, nikajiuliza hivi kweli mtu unatoka Kimara kwenda Kariakoo kununua parachichi na nyanyachungu? Huko Kimara hakuna soko? Hakuna genge? Nikajiuliza inawezekana akina Lissu wako wengi mjini wanatoka Chanika, Mbagala, Kimara Mbweni kwenda Kariakoo kununua nyanyachungu ndio maana daladala zinasomba watu tangu saa tisa usiku hadi saa saba usiku. Wapo wanaopeleka biashara na wapo wanaoenda kununua.
Je, sababu za mtu kutoka huko na kwenda Kariakoo ni nini? Kariakoo bei nafuu? au Kariakoo kuna uhakika wa kupata bidhaa za kila aina? au parachichi la Kariakoo liko fresh halijakaa muda mrefu kwenye tenga? au nitabia tu kuwa ukitaka kuhemea lazima uende Kariakoo? Na tukijenga masoko yenye hadhi ya Kariakoo, Mbagala, Kimara na Pugu kajiungeni watu watazidi kwenda Kariakoo?
Tukumbuke idadi ya watu mijini inaongezeka kila siku na hatuwezi kwenda kuhemea Kariakoo miaka yote.
Kumbuka Lisu ni mpinzani Wa kweli na anachukua kura za kutosha,Lowassa tuliokota garasa,ingawa nae alimshinda magu matokeo yakageuzwa.tumejifunza kutokana na makosa.2015 Lowassa nae alipanda daladala kabisa,ni vituko tu vya wanasiasa katika kipindi cha kampeni.
Dunia nzima hiki ni kituko cha aina yake toka kwa mgombea urais.Bila kusahau aliyepiga push up awamu hii anapiga magoti [emoji1787][emoji1787] nimekumbuka adhabu za shule enzi zile.
Ndio wote hao,wanasiasa hawana tofauti.Bila kusahau aliyepiga push up awamu hii anapiga magoti [emoji1787][emoji1787] nimekumbuka adhabu za shule enzi zile.
Hoja yangu hao wote ni wanasiasa na huu ndio wakati wao wa kufanya vituko,hiki kipindi kikiisha hutoona tena mambo kama hayo.Kumbuka Lisu ni mpinzani Wa kweli na anachukua kura za kutosha,Lowassa tuliokota garasa,ingawa nae alimshinda magu matokeo yakageuzwa.tumejifunza kutokana na makosa.
Kipindi cha Lowassa magu alikuwa anapiga push up.
Kipindi hiki anapiga magoti,kakutana na mwamba anampeleka kikamanda.
Wafanyabiahara wananunua jumla utalinganisha na Lissu anayeenda nunua fungu mbili za nyanya na hoho? mafuta ya gari kachoma shilingi ngapi? utumie mafuta ya gari elfu 20 ukanunue vitu vya elfu tatu? Lissu ana matatizoKariakoo vitu vinauzwa Bei rahisi
Hata hao wafanyabiashara wa kimara wanavitoa kariakoo
Case closed
Huyu jamaa katumia V8 tatu na walinzi cameraman na crue nzima ya CDM kwenda kununua wine, tena kanunua chupa moja ya st Anne, akili au matope? Halafu ndio awe Rais? Hapanawafanyabiahara wananunua jumla utalinganisha na LIsu anayeenda nunua fungu mbili za nyanya na hoho? mafuta ya gari kachoma shilingi nngapi? utumie mafuta ya gari elfu 20 ukanunue vitu vya elfu tatu? Lisu ana matatizo
Huyu yeye alienda na passo sio?Huyu jamaa katumia V8 tatu na walinzi cameraman na crue nzima ya cdm kwenda kununua wine, tena kanunua chupa moja ya st Anne, akili au matope? Halafu ndio awe Rais? Hapana
Anafake maisha tuKwa mwanasiasa anayeyegombea nafasi ya kitaifa ni vizuri ku-interact na watu wote na siyo majirani tu..!! Matarajio ni kuongoza taifa na siyo majirani. Huo ushauri ungemfaa kiongozi wa mtaa. Mpaka hapo hoja yako inabaki kuhesabika kuwa ni hoja ya mtu mwenye akili ya bata[emoji1787]