Sema ligi unazojua wewe ndio zimeisha lkn mipira bado inaendelea sana huko duniani, hii ni wiki hii tu na ni football bado michezo mingine.Dah!! bahati nzuri ligi nyingi zimemalizika vinginevyo lingechana mikeka balaa.
Container linaangukaje ina maana halikupigwa lockLori lililokuwa limebeba kontena lafeli breki na kontena kudondokea ofisi za kubet huko Yombo mwisho wa lami leo mchana. Watu kadhaa waliokuwa wanabet ofisini humo wahofiwa kupoteza maisha.View attachment 2656327
Kwa haraka haraka ndivyo inavyoonekana. Kuna uzembe umefanyika lilikopakiwa.Container linaangukaje ina maana halikupigwa lock
Kuna hizi lori za town trip Kama Madina,zimevamia Sana majumba ya watu hasa maeneo ya ufundi au kisababisha jam barabara ya kilwa miaka ya nyuma.Utasikia ni kafara kumbe malori yanaletwa ni mtumba
Shida kweli, hata kama ni triptown huwezi fanya uzembe kiasi hichoContainer linaangukaje ina maana halikupigwa lock
Hiyo lugha inakitu ndani yake si bure wabetiji bango hilo. 😂Eti ofisi ya kubet
Utasikia ni kafara kumbe malori yanaletwa ni mtumba