Watu kadhaa wameuawa katika shambulio la kigaidi dhidi ya Shirika la Viwanda vya Anga la Uturuki

Watu kadhaa wameuawa katika shambulio la kigaidi dhidi ya Shirika la Viwanda vya Anga la Uturuki

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Pole kwa wahanga wa ugaidi huu nchini Turkey ulioacha baadhi ya watu kufariki.

Several killed in a terrorist attack against Turkish Aerospace Industries (TAI) in Kahramankazan, Ankara



Screenshot_20241023-194145.png
 
Haya maumbwa ni majinga sana. Kuuwa binadamu wenzao bila sababu yanajisikia fahari! Mashetani wakubwa na huyo wanayemtumikia.
 
Magaidi ya Kiyahudi yanatafuta Attention ... yanaona wivu baada ya Edogan kualikwa BRICKS huko Russia
Basi yapo vizuri sana yanaenda kupiga hadi kule? Bricks ni nini? Russia ni Waislamu eeeeeh?🤣sisi tulinyimwa akili halafu hatutaki kusoma kabisa.
 
Back
Top Bottom